Wapi ninaweza kupata spares za simu aina ya TEENO R5(smartphone)

Enock gabriel

JF-Expert Member
Apr 26, 2021
348
312
Jamani nipo Dar, nauliza mwenye kujua sehemu ambapo ninaweza kupata spares za simu aina ya TEENO R5(smartphone), nimezunguka Kariakoo sehemu kubwa sijapata. Natanguliza shukurani za dhati.
 
Nilivyoona TEENO nikajua umekosea kuandika ni TECNO. Hiyo simu sijawahi kuiona na leo ndiyo nimeisikia.
Jaribu kununua simu zenye majina yanayojulikana.
 
Back
Top Bottom