Vipi nikihitaji kama Lita 2 hiviZinauzwa maduka ya tiba asili mkuu
300 Milimita cube ni elfu kumi so piga hesabu.Vipi nikihitaji kama Lita 2 hivi
Unapata, ukifika ulizia ya kupima huwa yanatoka Somalia....Vipi nikihitaji kama Lita 2 hivi
Je unga wa habat soda unauzwa bei gani?Na baadhi ya maeneo inarange saba elfu hadi kumi.