Wananzengo mnaendeleaje poleni na haya yanayoendelea.
Niende moja kwa moja kwenye mada.Jamani nadhani mnafahamu swala la wivu wa mapenzi lilivyojanga kwa jamii hasa linapokuja swala la kushuku kwamba unasalitiwa huku ukiwa huna uhakika au uthibitisho wa tuhuma hizo.Tusiende mbali kuna jamaa mmoja alikuwa akimtuhumu mke wake mara kwa mara kwamba atakuwa anachepuka tena mbaya zaidi akimtanabaisha na mhusika anayepita naye ila uthibitisho alikuwa hana ila alikuwa anajihami ili kama mke wake anatabia hizo ahisi dili lishabumburuka na hivyo kufanya kuachana na tabia hiyo.Kumbe yule bi dada hakuwa na tabia hiyo.Bi dada akamsanuea yule mshutumiwa kwamba "ninatuhumiwa kwamba tuna relationship" mh jamii akasema "loooo toka lini"? kuufariji moyo kutokana na tuhuma hizo si ikabidi wayajenge.Alooo ama kweli no research no right to speak.Tujitahidi bana tuache kushambuliana bila uthibitisho tusijehatarisha usalama wa ndoa na ustawi wa mahusiano.Niishie hapo kwa sasa