Wapi nilipokosea

Wapi nilipokosea

Watoto wote ni copy yangu hata wewe ukiwaona.Mtoto wangu wa kwanza nilikuwa na mawazo hayo kabla hajazaliwa lakini alipozaliwa sikuwa na haja ya kwenda kwenye DNA test kwani anafanana na mii sawasawa kabisa.Vyote unavyouliza anafanya.

sawa kaka, vp kuhusu mambo mengine ya kifamilia,kupanga mipango, mahusiano na ndugu na jami inayowazunguka?? Kama ni sex tu vry simpo. Mm nimewahi kuwa na dem ambaye alikuwa hajui chchte, yaani hata nikikojoa hawezi kunotice, stail 1 tu missnry, tena ya kubana miguu, nilichofanya nilimharass sana na kuonyesha wazi kuwa siridhiki na hali ile, na niliendesha mgomo baridi mwsho wa cku yy mwnyewe hakuamini anamudu staili 7 tena yuko flexible kama godoro, na anamudu hata bao 6, tena sometimez yy ndo anademand,, wanawake wanabadilishwa, ur a man, make changes jembeeee,, angalizo; usijaribu kumsaliti mkeo, utaighalimu family yako...
 
No man is hero to his wife..asipokuwa na tatizo hili ana lile
Sioni kosa lolote ulipoteleza.
 
Jamani hii njia ndio inaelekea jukwaa la spoti? Nataka kujua kama yanga wamesharudi kutoka uturuki?

wamerudi tokea juzi na isitoshe akilimali kasusa baada ya kuona wamevalia jezi nyekundu..
 
hapo kwenye red....kosa la kwanza...................

Nilimpenda dada mmoja ambaye nilimzidi miaka 8 wakati nimemaliza form six yeye alikuwa form 1.Nilipanga ndiye angekuwa mke wangu hasa ukizingatia nilipenda kuoa mke ambaye ni bikira kwa kuwa hata mimi nilijitahidi kujitunza na kwa kuwa nilitaka asome nilikuwa nikimuasa asifanye mambo hayo ila akazanie masomo tu nikiwa na malengo hapo baadaye akifika angalau A level ndiyo nimtamkie lengo langu juu yake.

kosa la pili......afterall si ilijkuwa hujamtokea? kilichokufanya usikilize maneno ya watu ni nini? ulimuuliza muhusika ukiwa kama nani? mpenzi au "kaka mwalimu?"?

Tatizo lilikuja pale nilipokuwa mwaka wa pili chuo Kikuu niliporudi likizo baadhi ya vijana ambao alikuwa akisoma nao shule moja walinipa taarifa kwamba ameanza kumegwa kisawasawa mpaka hata na walimu wake hii ilitokea mara tu baada ya kuja kunisalimia na kunikuta na hao vijana ambao walikuwa wakinichukulia kama kaka na mwalimu wao maana nilikuwa nawafundisha tuition kabla sijaenda chuo kikuu ndipo walipoanza kunipa taarifa hizo.Pia kwa kuwa mama yangu mzazi alihisi huenda hapo baadaye nikamchumbia kumbe alikuwa na yeye akimfuatilia kimyakimya na yeye alikuwa na majibu kama ya wanafunzi wenzake hivyo yeye alikuwa akimponda kama kunipa tahadhari.Niliamua kumuitamdogo wangu ambaye walikuwa wanasoma naye shule moja ili kupata uhakika, mdogo wangu aliniambia siku hizi ni kweli amebadilika.Kwa kuwa wote tulikuwa tunaishi mtaa mmoja niliamua kuamini walichokisema, nikamuuliza mhusika lakini hakutaka kutoa ushirikiano yeye akawa anapotezea mada.Hivyo nikaamua kuachana naye.

kilichokushtua cha ajabu ni nini?
kosa la tatu....."ubabba huruma" ulikuponza...

Nilirejea Chuoni kumalizia semister ya pili ya mwaka wa pili.Mwisho wa semister nilikutana na dada mmoja ambaye tulikuwa tunasoma naye course moja ila nilikuwa namzidi mwaka mmoja nilitokea kumpenda nakuonyesha nia ya kuja kumuoa baadaye lakini sasa historia ya maisha yake haikuwa nzuri kwani alikuwa ameishatembea na wanaume wanne.Roho yangu ilishutuka sana kwani mimi nilitaka nioe mwanamke ambaye hajaguswa kwani hata mimi nilijitunza sana.Kibaya zaidi huyu dada alinieleza mtu wa nne alikuwa naye kwenye mahusiano ya miaka minne na ndiye alikuwa anatarajia kumuoa lakini alikula kona baada ya yeye kuingia chuo kikuu kwa kuhofia kuzidiwa na mke kielimu kwani huyo mchumba wake alikuwa na diploma.Huyo dada alikuwa akinisimulia huku analia jambo ambalo nilinigusa nikashindwa hata kula kona (kumkimbia) kwa kumuonea huruma.

kosa la nne kugegedana bila kinga.............. anyway huyo mtoto ni wako? mbona kama "manyoya?"

Nilimfuata mtumishi wa dini ili anipe ushauri, aliniambia niache mambo ya kiswahili kwani nikifanya hivyo naweza kukosa mke mwema tena alinifokea sana.Hivyo nikakubaliana naye kwa shingo upande.Baada ya kumaliza mitihani yangu ya mwisho mwaka wa tatu, nikiwa katika maandalizi ya kutaka kuondoka chuoni yule dada alikuja chumbani kwangu ili aniage na kwa kuwa alikuwa ni mzoefu katika mambo ya kikubwa alinishawishi nikafanya naye tendo la ndoa bila kutumia kinga hivyo akapata ujauzito.

hivi hili ni kosa la ngapi vileee?????????? umeoa kwa kuwa umependa au umeoa mimba?

Namshukuru Mungu hakuwa na maambukizi ya HIV hivyo wote tulikuwa salama ingawa nilijutia sana.Niliamua kumuoa ingawa lengo langu lilikuwa ni kuoa mke ambaye hajaguswa kwa kuhofia mwanangu kukosa mapenzi yangu pia kumtenda tena yule dada.

mke alotumika sana yukoje?
kuna aliyeacha alama hapo?
kiufupi huyo bi shosti aliolewa na wewe kwa sababu ya mimba....
usikute ilikuwa ya jamaa yake(nawaza tu usiende mbagua mtoto buuuuuuuuuuuure)
au ya kwako kwa vile kanasa akaona heri umuoe mlee mtoto(kwa sababu zile zile zilizopelekea wewe kuamua kumuoa....)
kwa vile hana hisia juu yako...
anajifosi
hata tendo la ndoa hainjoi ilhali wewe sasa ndo una mzuka(madhara ya kutokuaonja hata{usifuatishe maandiko yanakataza mwayego}).....

ushauri kwa sasa sina nitarudi baadae

Yanayonisibu katika ndoa mpaka wakati mwingine nahisi nilikosea:

1. Siku zote mimi ndiyo nimekuwa initiator wa tendo la ndoa mpaka nahisi labda ni kwa sababu alitumia vibaya usichana wake, Kwani siku zote gari used halifanyi kazi kama jipya.

2. Kwa kuwa dhehebu langu hufundisha mambo ya ndoa vizuri na jinsi ya kumuandaa mke vizuri, kwa kuwa nimesoma sehemu mbalimbali za jinsi ya kumpa mke kitu roho inapenda nikishiriki na mke wangu yeye hupata mpaka multiple orgasm katika round moja tu.Nikitaka kwenda round ya pili yeye huwa amechoka kabisa hivyo ananiacha nasikilizia maumivu.

3. Akipata ujauzito ukafikia miezi mitano hakuna kufanya tendo la ndoa mpaka miezi mitatu baada ya kujifungua muda wote huo napata maumivu.Nijuavyo mimi mama mjamzito anaweza ku do hata mpaka mwezi mmja kabla ya kujifungua.

4. Viongozi wa dini walikuwa wanatuasa tuvumilie kwani tukioa tunaweza kufanya mambo ya kikubwa hata kila siku jambo ambalo kwangu ni ndoto.

5. Tukiwa kunako sita kwa sita anataka style moja tu ndiyo itumike yaani missionary.

6. Nimezaa nae watoto watatu mpaka sasa na kwakuwa nawajali watoto wangu hivyo nimeamua kuishi na maumivu ya kutoridhishwa katika ndoa.Najitahidi kuvishinda vishawishi kutoka kwa wakinadada mbalimbali ambao wako tayari kuchukua nafasi.

Ninavyodhani mimi kosa langu lilikuwa ni kumuoa mke aliyetumika sana ambaye haendani na mimi ambaye ndiyo kwanza nataka kufaidi mambo ya kikubwa.Kwani hata gari usedi halina mwendo kama gari mpya.

Wadau wapi pengine mnazani nimekosea, Nitakuwa makini kwa mwanangu wa kiume kuhakikisha hapati kama yaliyonikumba.
 
mkuu come down hili swala linazungumzika na mwenzio punde utakapo ondoa - attitude juu yake
 
hapo kwenye red....kosa la kwanza...................

kosa la pili......afterall si ilijkuwa hujamtokea? kilichokufanya usikilize maneno ya watu ni nini? ulimuuliza muhusika ukiwa kama nani? mpenzi au "kaka mwalimu?"?

kilichokushtua cha ajabu ni nini?
kosa la tatu....."ubabba huruma" ulikuponza...

kosa la nne kugegedana bila kinga.............. anyway huyo mtoto ni wako? mbona kama "manyoya?"

hivi hili ni kosa la ngapi vileee?????????? umeoa kwa kuwa umependa au umeoa mimba?

mke alotumika sana yukoje?
kuna aliyeacha alama hapo?
kiufupi huyo bi shosti aliolewa na wewe kwa sababu ya mimba....
usikute ilikuwa ya jamaa yake(nawaza tu usiende mbagua mtoto buuuuuuuuuuuure)
au ya kwako kwa vile kanasa akaona heri umuoe mlee mtoto(kwa sababu zile zile zilizopelekea wewe kuamua kumuoa....)
kwa vile hana hisia juu yako...
anajifosi
hata tendo la ndoa hainjoi ilhali wewe sasa ndo una mzuka(madhara ya kutokuaonja hata{usifuatishe maandiko yanakataza mwayego}).....

ushauri kwa sasa sina nitarudi baadae

alafu kwa nini nyie makunga/somo ndoa zenu huwa zinayumba kama upepo? au ndo kwenye miti mingi hakuna wajenzi?
 
hahahahahah 20 na unakuta the gal is innocent ila wanaume ndio walimdangany ana akashindwa kujua yupi mkweli yupi mwongo basi akajikuta kaliwa wengi sio walipenda kutembea na hao wote ni wanaume waliwadanganya tu.

Mbona kama umeandika kihisia sana?
 
Hujakosea popote na wala si issue kuoa mwanamke unayemwita "used" lakini nadhani si neno jema hilo. La msingi ni kuongea naye juu na haja za moyo wako katika kutimiza agizo na kupeana (kutonyimana) lakini wakati huo huo mkiwa na kiasi. Mke ni wako na una uhuru wa kuongea naye ili atimize wajibu wake kwako. Ikibidi nawe badili approach yako ya kumwandaa hadi pointi ya mwisho (uwe na kiasi katika maandalizi).

Kuhusu kuwa mjamzito hilo kiukweli anakukatili (anakubania) au ni kwa kutojua au kwa makusudi kwani tendo la ndoa linaweza kuendelea hata hadi saa chache kabla ya kujifungua ilimradi halimletei maumivu au madhara kulingana na maoni ya daktari. Mimba si ugonjwa....
 
Jamaa yangu kama hutafuta USED na UNUSED katika akili yako itakuchukua muda mrefu kufaidi tunachofaidi tuliooa. Tena umeniudhi zaidi ulipofananisha magari Used na Unused kwa binadamu.....Mbona Toyota walitengeneza magari mapya yenye matatizo ya break. Tafadhali piga magoti kumwomba mungu msamaha kwani ulivuka mipaka ya kibinadamu na ndio maana umepata adhabu japo unadai ulikuwa UNUSED ila gari lako halina wese full kwenya mawe.
 
yaah papo ulipokosea, ondoa hilo wazo la kusema ur wife alikua used tena wth four men futa kabisa hilo mwanamke bikira orijino labda umuumbe mwenyewe ila feki zpo nyiiiingi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nilimpenda dada mmoja ambaye nilimzidi miaka 8 wakati nimemaliza form six yeye alikuwa form 1.Nilipanga ndiye angekuwa mke wangu hasa ukizingatia nilipenda kuoa mke ambaye ni bikira kwa kuwa hata mimi nilijitahidi kujitunza na kwa kuwa nilitaka asome nilikuwa nikimuasa asifanye mambo hayo ila akazanie masomo tu nikiwa na malengo hapo baadaye akifika angalau A level ndiyo nimtamkie lengo langu juu yake.Tatizo lilikuja pale nilipokuwa mwaka wa pili chuo Kikuu niliporudi likizo baadhi ya vijana ambao alikuwa akisoma nao shule moja walinipa taarifa kwamba ameanza kumegwa kisawasawa mpaka hata na walimu wake hii ilitokea mara tu baada ya kuja kunisalimia na kunikuta na hao vijana ambao walikuwa wakinichukulia kama kaka na mwalimu wao maana nilikuwa nawafundisha tuition kabla sijaenda chuo kikuu ndipo walipoanza kunipa taarifa hizo.Pia kwa kuwa mama yangu mzazi alihisi huenda hapo baadaye nikamchumbia kumbe alikuwa na yeye akimfuatilia kimyakimya na yeye alikuwa na majibu kama ya wanafunzi wenzake hivyo yeye alikuwa akimponda kama kunipa tahadhari.Niliamua kumuitamdogo wangu ambaye walikuwa wanasoma naye shule moja ili kupata uhakika, mdogo wangu aliniambia siku hizi ni kweli amebadilika.Kwa kuwa wote tulikuwa tunaishi mtaa mmoja niliamua kuamini walichokisema, nikamuuliza mhusika lakini hakutaka kutoa ushirikiano yeye akawa anapotezea mada.Hivyo nikaamua kuachana naye.

Nilirejea Chuoni kumalizia semister ya pili ya mwaka wa pili.Mwisho wa semister nilikutana na dada mmoja ambaye tulikuwa tunasoma naye course moja ila nilikuwa namzidi mwaka mmoja nilitokea kumpenda nakuonyesha nia ya kuja kumuoa baadaye lakini sasa historia ya maisha yake haikuwa nzuri kwani alikuwa ameishatembea na wanaume wanne.Roho yangu ilishutuka sana kwani mimi nilitaka nioe mwanamke ambaye hajaguswa kwani hata mimi nilijitunza sana.Kibaya zaidi huyu dada alinieleza mtu wa nne alikuwa naye kwenye mahusiano ya miaka minne na ndiye alikuwa anatarajia kumuoa lakini alikula kona baada ya yeye kuingia chuo kikuu kwa kuhofia kuzidiwa na mke kielimu kwani huyo mchumba wake alikuwa na diploma.Huyo dada alikuwa akinisimulia huku analia jambo ambalo nilinigusa nikashindwa hata kula kona (kumkimbia) kwa kumuonea huruma.

Nilimfuata mtumishi wa dini ili anipe ushauri, aliniambia niache mambo ya kiswahili kwani nikifanya hivyo naweza kukosa mke mwema tena alinifokea sana.Hivyo nikakubaliana naye kwa shingo upande.Baada ya kumaliza mitihani yangu ya mwisho mwaka wa tatu, nikiwa katika maandalizi ya kutaka kuondoka chuoni yule dada alikuja chumbani kwangu ili aniage na kwa kuwa alikuwa ni mzoefu katika mambo ya kikubwa alinishawishi nikafanya naye tendo la ndoa bila kutumia kinga hivyo akapata ujauzito.Namshukuru Mungu hakuwa na maambukizi ya HIV hivyo wote tulikuwa salama ingawa nilijutia sana.Niliamua kumuoa ingawa lengo langu lilikuwa ni kuoa mke ambaye hajaguswa kwa kuhofia mwanangu kukosa mapenzi yangu pia kumtenda tena yule dada.

Yanayonisibu katika ndoa mpaka wakati mwingine nahisi nilikosea:

1. Siku zote mimi ndiyo nimekuwa initiator wa tendo la ndoa mpaka nahisi labda ni kwa sababu alitumia vibaya usichana wake, Kwani siku zote gari used halifanyi kazi kama jipya.

2. Kwa kuwa dhehebu langu hufundisha mambo ya ndoa vizuri na jinsi ya kumuandaa mke vizuri, kwa kuwa nimesoma sehemu mbalimbali za jinsi ya kumpa mke kitu roho inapenda nikishiriki na mke wangu yeye hupata mpaka multiple orgasm katika round moja tu.Nikitaka kwenda round ya pili yeye huwa amechoka kabisa hivyo ananiacha nasikilizia maumivu.

3. Akipata ujauzito ukafikia miezi mitano hakuna kufanya tendo la ndoa mpaka miezi mitatu baada ya kujifungua muda wote huo napata maumivu.Nijuavyo mimi mama mjamzito anaweza ku do hata mpaka mwezi mmja kabla ya kujifungua.

4. Viongozi wa dini walikuwa wanatuasa tuvumilie kwani tukioa tunaweza kufanya mambo ya kikubwa hata kila siku jambo ambalo kwangu ni ndoto.

5. Tukiwa kunako sita kwa sita anataka style moja tu ndiyo itumike yaani missionary.

6. Nimezaa nae watoto watatu mpaka sasa na kwakuwa nawajali watoto wangu hivyo nimeamua kuishi na maumivu ya kutoridhishwa katika ndoa.Najitahidi kuvishinda vishawishi kutoka kwa wakinadada mbalimbali ambao wako tayari kuchukua nafasi.

Ninavyodhani mimi kosa langu lilikuwa ni kumuoa mke aliyetumika sana ambaye haendani na mimi ambaye ndiyo kwanza nataka kufaidi mambo ya kikubwa.Kwani hata gari usedi halina mwendo kama gari mpya.

Wadau wapi pengine mnazani nimekosea, Nitakuwa makini kwa mwanangu wa kiume kuhakikisha hapati kama yaliyonikumba.

ni wewe uliemtumia sana, mpaka apetite imeisha, kuzaa watoto watatu mchezo unadhani halafu bado upende mtalimbo kwa kasi ile ile kama ya kusaka mchumba,? acha ajipumzikie kimoja kitosha kabisa ingekuwa mimi ningekupa mara moja kwa mwezi lol
 
Sex is an art of love making...learn and practise!!
 
nafsi yako imeweka agano na huyo mkeo maana wewe inaelekea alikutoa ubikra...ardhi imeshuhudia
nafsi ya mkeo ipo kwa aliyemtoa bikra na ndiyo agano lake kwa huyo, haipo kwako maana ametumika....:glasses-nerdy:
La muhimu ni kuzifanya nafsi zenu ziwe pamoja mfurahie maisha na hakuna awezaye fanya hivyo ila ni mungu pekee!

mkuu hata dini inapanda hongera!
 
Labda ulikuwa second option, yuko na wewe wakati anamuwaza Bakari?

Boy, grow up!

Hii kwangu alwayz ni point nzito zaidi ya nyingine..

Bolded part...........haijalishi una miaka 100 as long as u don't act like Man u'll stand to be a boy haswa masuala yanayowahusu hawa 'ndugu' zetu..!
 
Saikolojia yako imeathirika sana na kupata mke ambaye ni bikra, ndio maana matatiyo yako unataka kuyafanya kuwa mwanya wa kufikia lengo lako. Sijaona tatizo kubwa hapa linalokufanya ulalamike kwa kiasi cha kutoa historia ndefu kama hii. Unao uwezo wa kulitatua hili tatizo ila ile dhana ya Mke asiye bikra anamatatizo ndio inakutesa.
 
Back
Top Bottom