Wapi nianike Chupi yangu?

hahahahahaaha!!!kabanga, umenichekesha sana , yaani hizo kyupi sijui umezitoa wapi, hasa hiyo pic ya tatu ni babu kubwa.
 

Huko kwenye dustbin unakozitupia hakuvundi? Kurundika michupi y wiki nzima lol!
 

Anika chupi/boxer nje.
 
ushauri wangu, i am sorry,Anika begani,na kiangazi hiki,haikawii kukauka,ikikauka,weka mfukoni.
 
da mimi nadhan huko ndo sahihi ila jitahidi kuziweka mbali na macho ya watu au unaonaje
 
bujibuji sisi watu wa pwani wala hautupi tabu msuli, nakumbuka mara moja nilikuwa nikisafiri pale uwanja wa ndege wa airport jamaa alikuwa akinisachi na mimi haya mambo ya kunigusagusa siyapendi kwani alimuamsha jamaa ilikuwa ugomvi amekasirika oohh unanibashia kwanini usimamishe dudu yako wakati ninakusachi kosa nililofanya ni kule kumuambia sina kitu ndani na yeye alitaka kuhakikisha

Bujibuji hebu jaribu nenda kwenye gahawa leo uvae msuli utakuja nieleza kwanini hukuvaa siku zote hizi
 

Mbona hcupi za kufuwa na kuanika zilishapitwa na wakati? upo dunia hii?

http://www.walmart.com/ip/TENA-Men-Heavy-Super-Plus-Protective-Underwear-Medium-Large-16ct/14913427

 
Anika sebuleni

Ahahaaaa sebuleni ahahahah
Mm huwa sivai lkn siku ile nipo kizimbani Kisutu kumbe zipu imefungika na dushelele linachungilia lkn hakimu wa kike hawezi niambia hahajahaha
Toka siku ile navaa bukta
 
Bujibuji ulienda kumchungulia mke wa jirani siku nyingi ulikua unamzimia ww,au mlipanga mkutane chooni? maana nyumba za kupanga zina mambo,hilo bafu halina komeo? au hakufunga mlango? na kwanini asifunge kama siyo mlikubaliana?
 

Tunaanika juani mchana kweupe tena ni siku za weekend na tena hao wapangaji karibu wote wapo
 
Bujibuji ulienda kumchungulia mke wa jirani siku nyingi ulikua unamzimia ww,au mlipanga mkutane chooni? maana nyumba za kupanga zina mambo,hilo bafu halina komeo? au hakufunga mlango? na kwanini asifunge kama siyo mlikubaliana?

hapo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…