Wapi Niagize Mizigo Online Tofauti Na China

Mimi nimepokea mzigo wangu leo ambao nilipaswa niwe nimepokea tangu Januari. Covid19 imeharibu biashara sana yaani.
 
Mimi nimepokea mzigo wangu leo ambao nilipaswa niwe nimepokea tangu Januari. Covid19 imeharibu biashara sana yaani.
Ila sasa naona hali imeanza kurudi Kama zamani maana hata lile bango la covid-19 lililokuwa linaonekana unapofungua kwenye delivery ya order yako siku hizi halipo hivyo ngoja tuendelee kuchota vitu kabla Covid-30 haijaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…