Binafsi niliagiza simu mbili na memory card ya 16 gb kutoka Ali express tar 17 ya mwez wa pili mwaka huu wakat huo corona imeshamiri kweli, ila baada ya kulipia nikapokea mesag there is delay of shipping due to epidemic of corona nilikata moto simu azikua zangu nikaona hapa ntaonekana tapeli na mwiz Wa kutupwa ila ndio nshalipia basi na sina uhakika kama mpesa Master card inapokea pesa zaidi ya kutuma tu ila nashukuru tarehe 24 mwez Wa 3 juzi nimezipokea pamoja na memory card kabla ya hapo nil
View attachment 1403137ipata email ndan ya wiki kua mzigo umeingia nikaona uongo sikupokea mesag ya Posta ya mkoan kwangu ila tareh 24 nilipata mesag kutoka Posta na simu nikazipata clearly.