Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,520
watakupigia simu kama uliweka noNimejipeleka posta nimeambiwa hakuna mzigo eti.
watakupigia simu kama uliweka noNimejipeleka posta nimeambiwa hakuna mzigo eti.
Ngoja nisubiri maana wamesema nitapokea meseji.watakupigia simu kama uliweka no
Nimepokea mzigo wangu leo.watakupigia simu kama uliweka no
Ila sasa naona hali imeanza kurudi Kama zamani maana hata lile bango la covid-19 lililokuwa linaonekana unapofungua kwenye delivery ya order yako siku hizi halipo hivyo ngoja tuendelee kuchota vitu kabla Covid-30 haijaja.Mimi nimepokea mzigo wangu leo ambao nilipaswa niwe nimepokea tangu Januari. Covid19 imeharibu biashara sana yaani.