SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Ebay mkuu unaweza na hata amazon sema kwa hawa amazon shipping zao zinakuwa ndefu jiandae.
Mkuu ukisema uk USA....weka na masoko yaoUk, usa bei mkasi
Japan hawana bidhaa nyingi kama china ,japam wanaabidhaa chache tuI think tunaweza kumreplace China kwa Japan, Tunaweza kuagiza bidhaa kutoka Japan
Inategemea na bidhaa kitu cha china kitakuwa rahisi china na kitu cha usa ni rahisi Usa, kuna watu wananunua vitu aliexpress na kwenda kuviuza amazon, wengine wananunua amazon na kuuza Aliexpress.Kuna mzigo nilikua naagiza aliexpress ni 1$@pc nilivyo opt amazoni nilikuta bidhaa ile ile amazon ni 25$ ndio nkajua china ndio ndugu yetu waafrika wa kusini mwa jangwa pendwa
Kama mnavyojua tulikuwa tumezoea kuagiza mizigo kutoka China kupitia AliExpress lakini kutokana na Coronavirus kuathiri China kwa kiasi kikubwa na hivyo kuathiri safari za ndege kutoka huko, sasa tutumie njia gani tena kuagiza vitu kwa bei nzuri kutoka nje au ni wapi twaweza kuagiza tofauti na China?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee hawa jamaa ndio rafiki zetu. Mimi mwenyewe nimeguswa sana baada ya hili janga.Kuna mzigo nilikua naagiza aliexpress ni 1$@pc nilivyo opt amazoni nilikuta bidhaa ile ile amazon ni 25$ ndio nkajua china ndio ndugu yetu waafrika wa kusini mwa jangwa pendwa
Ngoja kwanza upembuzi uchukue nafasi yake, yakinishinda itabidi mkuu.Unahitaji nini nikuchukulie amazon?
USA vitu kweli ni rahisi sana ila shida ni kwenye shipping. Hata kule AE nawaonaga vitu ni chee ila hawaship kuja huku.Inategemea na bidhaa kitu cha china kitakuwa rahisi china na kitu cha usa ni rahisi Usa, kuna watu wananunua vitu aliexpress na kwenda kuviuza amazon, wengine wananunua amazon na kuuza Aliexpress.
UAE sio? dubai huko, wala sio mbali sana sema tu hakuna shipping ya maana kuja huku. unaweza tumia ship and shop ya aramex sema sio reliable kivile. ni kama $15 kwa nusu kilo.USA vitu kweli ni rahisi sana ila shida ni kwenye shipping. Hata kule AE nawaonaga vitu ni chee ila hawaship kuja huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee hawa jamaa ndio rafiki zetu. Mimi mwenyewe nimeguswa sana baada ya hili janga.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ni wensite gani naweza nunua nayo kitu kutoka UAEUAE sio? dubai huko, wala sio mbali sana sema tu hakuna shipping ya maana kuja huku. unaweza tumia ship and shop ya aramex sema sio reliable kivile. ni kama $15 kwa nusu kilo.
Kubwa kabisa ni souq sema nimeicheki sasa hivi naona Amazon wameshafanya yao wameinunua na wameshaibrand kwenda amazon.mkuu ni wensite gani naweza nunua nayo kitu kutoka UAE