SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Kama mnavyojua tulikuwa tumezoea kuagiza mizigo kutoka China kupitia AliExpress lakini kutokana na Coronavirus kuathiri China kwa kiasi kikubwa na hivyo kuathiri safari za ndege kutoka huko, sasa tutumie njia gani tena kuagiza vitu kwa bei nzuri kutoka nje au ni wapi twaweza kuagiza tofauti na China?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app