Dah.... kuna wizi wa ideas...huu ni mzuri sana....unakaa baa huku masikio yako wazi...unasikiliza mawazo ya walevi...walevi wana mawazo mazuri sana...tatizo lao kubwa ni utekelezaji..wakuu nahitaji kujua sehemu ambayo naweza somea wizi kwa wiki kama mbili hivi ili niweze kumudu maisha ya town simnajua Christmas na mwaka mpya ziko njiani so lazima nitafute mkwanja wa kuonga macute.
Engineer to be aliyekosa mkopo.
kipo huku mtaani kwetu ila Utaenda kufanya Graduation kuzimu
nataka kuwa level ya ukibaka kamili yani.hakikisha unaanza na mazoezi ya mbio...kimbia kila siku 900 km kwa wiki 2..pushapu 800 kila siku kwa wiki 2...na mazoezi ya kukwepa matone ya mvua...ukiwa tayari ni PM tukapige mchongo wa mifwedha...be serious....
nimesema hivi wizi wa pesa kwa wiki mbili tu kwa hiyo hazitazidi Siku arobaini.kipo huku mtaani kwetu ila Utaenda kufanya Graduation kuzimu
Toa advise sio kucheka man.
is that horizon of your thought ?Threads za 2016 kwakweli zimekuwa za kipuuuzi toka JF imeasisiwa yaani
Mwizi mkuu amehamia cdm
CCM means chama cha majizi ndio nako enda kujiunga now.Mwizi mkuu amehamia cdm
ccm ndo mabingwa wa kufundisha namna ya kuiba ...ajiunge na uvccm tu ..ukitoka hapo hakuna wa kukukamataMwizi mkuu amehamia cdm