Natanguliza shukrani wakuu, natafuta sana hiki kiatu kikiwa kipya kwa hapa DSM, wapi naweza pata, naona kwenye maduka mengi wanauza vile vya mchina vile(copy/fake).
Mara ya mwisho nilibahatisha cha mtumba soko la Karume.
Natanguliza shukrani.
View attachment 1577265View attachment 1577266View attachment 1577267View attachment 1577269
Mara ya mwisho nilibahatisha cha mtumba soko la Karume.
Natanguliza shukrani.
View attachment 1577265View attachment 1577266View attachment 1577267View attachment 1577269