Wapi naweza pata jezi ya UFARANSA namba 6 iprintiwe Jina langu?

Wapi naweza pata jezi ya UFARANSA namba 6 iprintiwe Jina langu?

AVO28

Senior Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
140
Reaction score
240
Msaada wakuu kwa hapa dar wapi naweza pata jezi ya ufaransa namba 6 ila iprintiwe jina langu kwa bei poa, ??? (nazungumzia jezi origional)
2018nation_france_085.jpg
 
Hapo kwenye original ndio utata ulipo [emoji23][emoji23]
 
Hapo kwenye original ndio utata ulipo [emoji23][emoji23]
simaanishi origional itoke ufaransa, namaanisha origional iwe na quality nzuri sio ile midosho ya kkoo ukifua mara 2 imepauka
 
sio OG sema High Copied
..Kajaribu kwa Quatexx istagram anauzaga uzaga jezi kwa Tsh 45000
 
Mcheki mwl.RCT akuchukulie nike store za mbele,Huko kuna hadi option ya kucustomize jezi
 
Mcheki mwl.RCT akuchukulie nike store za mbele,Huko kuna hadi option ya kucustomize jezi
ikitoka nje mpaka ifike bongo fainal si itakua tayari, mi nimepanga kuvaa siku ya fainali tukichkua kombe
 
ikitoka nje mpaka ifike bongo fainal si itakua tayari, mi nimepanga kuvaa siku ya fainali tukichkua kombe
Bongo hii kupata zenye ubora uliousemea ni kazi sana
 
Kuna timu moja hivi natafuta jezi yake nikiipata nitafurahi ile timu ya Colombia inacheza ligi Daraja la tatu.

Chazo cha kutafuta jezi yake ilinipa matokeo mazuri hadi nikampiga mhindi M3.
 
Mi nataka ya ufaransa nyeupe iliyoandikwa fekir. Anayejua sehem inapopatikana highly copied
 
kwa mlioko daslamu mtafute huyu instagram #oswees_mgevangeo# nadhani hata mikoani atakupelekea
 
labileeeee jana kaupiga mwingi sana mamaeeee
 
Back
Top Bottom