Msaada tutani Viazi kutoka Njombe na Mbeya

Ismoo

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
1,038
1,457
Habari za mida hii wanajamvi.

Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe.

bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa pande hizo?

Naomba ane fahamu hili asisite kunijulisha. Natanguliza shukrani kwa yeyote atakae ni saidia hili. NB: mzigo nauzia Dar. Kwahiyo trip itakua Mbeya
- Dar au Njombe-Dar.
 
Back
Top Bottom