Njoo ununue mbao kavu kabisa kwa bei ya shamba Njombe

Njoo ununue mbao kavu kabisa kwa bei ya shamba Njombe

Muuzaji Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2022
Posts
891
Reaction score
1,984
Kama upo Dar es salaam, Pwani, Dodoma na mikoa mingine yote Tanzania

Unahitaji mbao kavu kabisa kwaajili ya biashara, miradi ya ujenzi, karakana za Thamani za ndani nk

Karibu Njombe tukuuzie mbao yenye ubora wa hali ya juu kabisa.

BEI ZA MBAO
‎•2×2×12 ~ 1,200/=
‎•2×3×12 ~ 2,200/=
‎•2×4×12 ~ 3,500/=
‎•2×6×12 ~ 4,500/=
‎•1×4×12 ~ 1,200/=
‎•1×6×12 ~ 2,600/=
‎•1×8×12 ~ 4,500/=
‎•1×10×12 ~ 9,500/=

GHARAMA ZA MUHIMU

•Usafiri:

•Kupakia: 150,000/=

•Ushuru: 3% ya thamani ya manunuzi

•TRA: 2% ya thamani ya manunuzi

•Transit pass: 15,000/=

•20% ya Transit pass: 3,000/=

•Mizani: 15,000/=

•Ushuru wa magogo: 150,000/=

•Barua ya manunuzi: 5,000/=

•Miundombinu ya misitu: 20,000/=

•Emergence Cash: 100,000/=

MUHIMU:
•Hakikisha una leseni ya kufanya biashara ya bidhaa za misitu.

•Kama huna andaa 100,000/= hadi 150,000/= kwaajili ya kukodia leseni hiyo.

•Leseni hii ni muhimu wakati wa kuandaa nyaraka za kusafirishia mbao hadi eneo ulipo na pia inasafiri na gari ya mzigo.

Screenshot_20260521-135832.jpg
Screenshot_20260521-135838.jpg
Screenshot_20260521-135846.jpg

MAWASILIANO
0748874928
(PIGA SIMU)
 
View attachment 3592285View attachment 3592286View attachment 3592287

MAWASILIANO
0748874928
(PIGA SIMU)
Hii biashara ni nzuri kama una Miradi, kwa mfano uwe na Miradi ya ujenzi wa ofisi za Serikali Mtumba Dodoma - hii biashara lazima utakuwa Bilionea fasta
 
Back
Top Bottom