matheus lazaro
Member
- Aug 1, 2013
- 42
- 15
Kuwa makini sana na laini za mtaani ukipata matatizo ndo utajua vema uzito wake.Mpesa mtaji wao ni laki 5 ambayo unawekewa katika cm yako ya uwakala. Tigo pesa mtaji wao ni 1milion kama mtaji na mnasaini mkataba pia na airtel money ni laki 3 kama mtaji pia. changamkia fursa mpendwa.