Utoe picha mtandaoni watu wametumia box au box ya jirani yako umeomba akutumie screenshot na wewe ndiyo utume hapa JF. Umeona sasa unavyojichanga? Ndiyo wale wale mafundi waongo aka makanjanja. Hizo cracked software ni bure mtandaoni ni wewe na bundle lako. Nyie ndiyo wale wanaouza Miracle box na GSM Aladdin Cracked wakati mtandaoni ni free. Acha uongo hakuna CRACKED YA SGIMAKEY WALA KEYGEN. Wewe mwenye umejiona bonge la kilaza mpaka unataka uweke screenshot. Hiyo screenshot hata mimi nitakutumia, zipo nyingi sana mtandaoni wala sitaki hiyo ya kwako.
Sawa fundi naomba nifunge mjadala na wewe aisee maana naona sio type yangu ujuaji mwingi sana wakati wakati nakuona kichwa box unaish kwa kukariri
sidhani hata kama unaujanja wa ku customise firmware wewe mwenyewe badala ya kusubiri wakufanyie wenzio wwe ndio u download halafu unataka ligi na mimi !!
Yaan eti umekomaa kabisa sigma box haina crack inayo fanya kazi!!!!!??? Halafu unataka bado niendelee kuamini kuwa nipo kwenye mjadala na fundi???au unadhani wote tumejipanga hapo dar kwenye vimeza kariakoo,?
Eti kisa tu wewe umeshindwa kuipata basi unadhani kila mtu hawezi au unajiona upo kwenye level za juu kabisa za software engineering ?? Mbona kwa hili tu nakuona kichwa maji ujuaji mwingi huku huna kitu kichwan nakushangaa eti umekomaa kabisa hakuna crack ya sigma inayo fanya kazi hahahahaaaaa we kweli juha na ungejua kwanza unae bishana nae hapa nadhan ungepiga kimya kirefu kabisa kifupi kwa hili tu wewe bado kinda kwenye haya maswala bwana mdogo endelea kuish kwa kusubiri majibu ya google.
Nakushanga sana aisee wewe bado mtoto sana kwenye maswala ya software engineering kwa maelezo yako tu tangu tumeanzisha mjadala hapa nimejua unacho jua ni kuflash tu halafu tena kuflash kwenyewe kwa kutumia box moja miracle halafu unajiona mjanjaaa unataka hadi kufundisha walimu wako
Tufunge mjadala bwana, wewe ndiye fundi mkuu unajua kila kitu tufanye mambo mengine endelea na ujuaji wako
Mafundi wenzio wajanja huwa sio wabish kama wewe na hasa kwa jambo ambalo jipya kwake huwa wana penda kujifunza ili kuongeza maarifa
Wewe huna tofauti na mjinga mmoja aliye simamia msimamo kwamba hakuna wa kung'oa icloud kwenye iphone mwisho wa siku akaja kuona wenzio wanazitoa bila shida akabaki kashika kidevu
Dogo technology haijasimama kukusubiri wewe tambua wewe unavyo zijua za mbele wenzio wanazijua za nyuma usfikiri wote tunasubiri software tuvunjiwe bwana mdogo yawezekana kuna software nilizo vunja mimi hata wewe unazitumia hapo avha ushamba penda kujifunza sio kubisha technology haijasimama kukungoja wewe.
NASISITIZA TENA KWA UHAKIKA PASI NA SHAKA IPO CRACK YA SIGMA NA INA FANYA KAZI HATA SASA , UKIWA WA KUTAKA KUJIFUNZA UTARUD TENA MEZAN UELIMISHWE ILA KWA SWALA LA KUBISHANA TENA NIMEFUNGA MJADALA.