Wapi naweza kupata miracle box original pamoja na key zake

#1
Wakuu Habari

Last Week Katika Kuhangaika Hangaika Kutafuta Flashing Box Ya Kufanya Network Unlocking Ya Tecno N2! Nikakutana Na Uzi Ambao Nishausahau Kutokana Na Haraka Na Ujinga Wa Pupa Ambao Kuna Mdau ( Nishamsahau) Alitumia Uungwana Sana!

Alifungua Ac Kule 4shared.com

Akaweka Hizo Box Zote Cracked Version.

Mungu Akubariki Sana Mkuu! Na Kama Bado Umo Humu Jitokeze Tukupe Credit Zako Umetupa Maisha.

CHA KUFANYA

Ingia

www.4shared.com

Login Kwa Details:

Username: FREESHARE6@GMAIL.COM

Password: freeshare2017

Download Upendavyo.

ANGALIZO

Usibadili Login Details Ili Wengi Wapate Tuwe Wastaarabu.

CREDIT

Braza Niliyekusahau Tafadhari Jitokeze.

SITAKUSAHAU JF
Kuwa mstaarabu maana toka 2016_mpk Leo watu wako wastaarabu wanadownloäd hawabadili password
 
Washabadili
 
Haikubali...
 
Naombeni msaada wapi naweza kupata miracle box original pamoja na key zake nipo dsm. Km unayo nichek 0713209535
Nenda Kariako, waulize mafundi simu watakuelekeza. Kama upo serious na ufundi simu kachuke original box na achana na cracked box kwa sababu hautafanya vitu vingi . Kutumia cracked box hautafanya vitu vingi na ukumbuke hawa wanaosema utumie cracked box hawajui au hawashuguliki na issue ya ufundi simu. Hicho kisimu chake cha Tecno cha MTK kuunlock ameona ameshamaliza. Jaribu kuunlock simu ya vodafone VDF 1100 au VDF 200 kwa cracked box yako halafu uje utoe mrejesho hapa. Kuna simu zenye chipset ya SPD na RDA, na Qualcomm. Hapo ndiyo mziki mwingine utauona ukiwa na cracked box yako. Utabaki unang'aa macho hata hujui ufanye nini na mteja anataka simu yake. Ukitumia Cracked box kubackup firmware, unaweza kukuta preloader haipo. Nilijaribu kubackup firmware ya Tecno L3 ilidunda. Jaribu kutumia Cracked box kwa simu ya TECNO F1 hata kuread password au Pattern uone mziki wake ulivyo. Hauchezeki na wakati mwingine kwa simu za zamani ukiformat inaweza kuushia kwenye Logo au kupoteza imei hata kwenye simu za button. Kama umefuta IMEI halafu stika ya IMEI imeshatoka au imechubuka. Hapo unaanza kuingia bifu na TCRA.. Cracked box zinafanya kazi kwenye simu za zamani. KAMA UNA UWEZO CHUKUA HILO ORIGINAL BOX LITAKUSAIDIA SANA.
 
Kununua box miaka ya leo ni ujinga na software sio miracle peke yake nimetumia cracked ftn flash tool ku reset patern tecno F1 bila shida ni utundu tu, ulilo shindwa wewe haimaanish haliwezekani
 
Kutegemea takataka zinazoitwa cracked huwezi kufanya kazi kwa 100%. Sana sana utafanya kazi chini ya kimeza kama cha shoe shine na hautapiga pesa. Ingia Youtube uone ofisi za ufundi simu zilivyo. Ukicheki ofisi ina vifaa kama vya milioni 2 na zaidi, ofisi imependeza. Watu wanafanya kazi kama wanaendesha gari ambayo ni automatic Ndiyo maana mafundi simu wa Tanzania wanaua sana simu za watu. Anafanya Hardware lakini hana Multimeter na haijui kuitumia. Kwa sasa mpaka watu wanaogopa kupeleka simu kwa mafundi simu sababu kuwepo kwa mafundi kama wewe wenye tamaa ya pesa, hawana ujuzi na hawana vifaa zenye ubora. MWISHO WA SIKU ANAKUWA MUONGO, SOUND NYINGI UJE KESHO SIJUI KESHO KUTWA. MWISHOWE UNAPEWA SIMU IKIWA MBOVU VILE VILE NA UNAAMBIWA IMEMISS FILE. Kipindi cha nyuma kuna fundi kajanja aliniulia simu yangu ilikuwa issue ya hardware na hana hata multimeter. Anachomelea ovyo ovyo tu. Simu yenye anafungua kama anapigana nayo. Kuna simu zinatakiwa zifunguliwe kwa kutumia LCD Separator lakini yenye anatumia screw driver au kisu. Kuna Soldering flux paste, PCB Stand opening tools, Suction Cup n.k
Unapeleka simu kwa fundi inakuja na michubuko, Housing imewekwa vibaya vibaya mpaka unatamani ununue housing mpya.
 
Safi sana mkuu
 
Dogo nsha kwambia kitu kama hukijui wewe usidhan hakipo na hakiwezekani ninatumia crack softwares na ninafanya kazi zote na chipset na cpu nying tu mtk ellio, spd ,Qualcomm snapdrgn , intel,exynos na ninapo sema kazi zote namaanisha zote kuanzia upgrade , hios security, ant theft, frp, patern, user password , nck locks network nk na nina flash had na customise firmware za android , window phone kwa cracked software eti kwa vilele wewe umeshindwa basi unaona haiwezekani hahahha kijana

Yawezekana umeanzia kazi ya software kwenye hizi smartphones za android za sasa na hayo mabox ya mirarcle

Wenzio tumeanza kazi hizi tangu enzi za tonardo ufsx na jaf na infinity enzi za motorola c110 unachomeka pin ya kuflash kwenye tundu la earphone hiyo michina yenu sijui tecno, itel , infinix haipo kabisa kwenye soko.

Bora uulize unapo kwama na ujifunze maana ya crack uijue vizur kijana nimewahi kununua box mara moja tu na sitakuja nunua box maishan kwa sasa napambana na icloud security kwanza
 
Safi sana mkuu kwa maelezo yako, hivi hizi cracked zinatumika software bila box?

Yes unatumia software bila hardware yake kwa kifupi ni kwamba una bypass hardware identficatation na kutengenezea route mpya ya usb direct bila hardware yake na kuifanya software ijione kama ina pacha wake yaan hardware (box) na hapo ndipo bao linapo pigwa

Sasa namshangaa huyo popo hapo kajua kuflash kwa miracle box basi anajiona fuundi kuliko wote na anadhan asilo lijua yeye basi halipo na haliwezekani
 
Nilitumia GSM Aladdin kidogo, sijawai kudhani kama hizi miracle box na ndugu zake akina NCK box wana software zinazofanya kazi bila box,
 
Safi sana mkuu kwa maelezo yako, hivi hizi cracked zinatumika software bila box?
Yes unatumia software bila hardware yake kuwepo kifup una bypass hardware identification na una tengenezea rout mpya ya usb direct bila ya kupitia kwene hardware (box) hivyo software inajihisi kama ipo na pacha wake yaan hardware (box) na hapo ndipo bao linapo pigwa

Sasa namshangaa huyo popo hapo kujua kutumia box ya miracle basi anajiona yeye ndiye fundi wa mafundi tanzania na anaamini asilo lijua yeye basi haliwezekani

Hajui wenzie kazi hizo tumezianza tangu enzi za siemens c25>wrongsoftware , contact service> nokia feature phone, local mode enzi hizo kitambo sana hadi tunazeekea huko halafu yeye kajua kutumia miracle box tu ananza dharau madogo hawa bwana
 
Nilitumia GSM Aladdin kidogo, sijawai kudhani kama hizi miracle box na ndugu zake akina NCK box wana software zinazofanya kazi bila box,
Zipo nying sana mkuu unazoweza tumia bila box , gsm, miracle,ftn, dc unlocker, infinity, nck, sigma key ,nspro,sprt,volcano,falcon box,Eft ,infinity, jaf, ufsx hwk yaan zipo nyingi sana ni utundu wako tu kujua kucheza nazo aisee na zote unapata cracked na fatures nying tu
 
Yes unatumia software bila hardware yake kuwepo kifup una bypass hardware identification na una tengenezea rout mpya ya usb direct bila ya kupitia kwene hardware (box) hivyo software inajihisi kama ipo na pacha wake yaan hardware (box) na hapo ndipo bao linapo pigwa

Sasa namshangaa huyo popo hapo kujua kutumia box ya miracle basi anajiona yeye ndiye fundi wa mafundi tanzania na anaamini asilo lijua yeye basi haliwezekani

Hajui wenzie kazi hizo tumezianza tangu enzi za siemens c25>wrongsoftware , contact service> nokia feature phone, local mode enzi hizo kitambo sana hadi tunazeekea huko halafu yeye kajua kutumia miracle box tu ananza dharau madogo hawa bwana
Hongera mkuu mimi nimetumia miracle box nimefanikiwa ku unlock simu mara 5 tu. Yani hadi leo najiona mwamba balaa yani nikikaa,ku hadisia naongea uongoo mpaka mwisho. Kuna mda watu wananiletea simu sema mara nyingi nafanikiwa. Juzi nimeletewa ya pattern sema nilikuwa sina pc nika mpiga sound kuwa mmilíkii wa miracle box kafaaa kwahiyo mpa week ijayo mazishi wamalizee ndo itakuwa online. Ndo kaacha cm hapa nataka nitafute wajuzi.
 
Back
Top Bottom