ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Ngoja Waje kukupa muongozo.Habari zenu wakuu
Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu.
Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho.
Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata huduma hii kwa Dar es Salaam, na gharama yake ni kiasi gani?
Natanguliza shukrani.
Asante sana mkuuMcheki hyo jamaa namba ya chini.Anafanya hyo kazi,nadhan yupo kariakoo.
0763101107...naomba utaleta mrejesho maana na mm nilitaka nimchek ila majukum yamekuwa mengi
Mwongozo tafadhali machinga complex ofc za kurepear tv zipo mingi bossNenda machinga complex Pana ofisi imejaa mitambo ofisi ya kurepear tv
Floor ya tatu juu ya Akiba commercial bank utauliziaMwongozo tafadhali machinga complex ofc za kurepear tv zipo mingi
Maelezo yameshiba haya tusubiri mrejeshoFloor ya tatu juu ya Akiba commercial bank utaulizia
Bei zitafauitiana kutokana kioo chako Kuna cha 4k na 2k pia model number ya kioo chako ila kama walivyokupa muongozo machinga complex wanafanya ayo mambo Tena chap kwaHabari zenu wakuu