Wapi naweza kupata Earbug empty?

Wapi naweza kupata Earbug empty?

STUKA M1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,699
Reaction score
7,314
Wakuu,, nimepoteza Earbug ambayo inatumika kuhifadhi na kuchajia earphone zake na sasa nimebakiwa na earphones tu ambazo nashindwa hata namna ya kuchaji. Naomba msaada wapi naweza kupata hyo earpod/Earbug ambayo itaingiliana na earphones zangu na kuchaji bila shida.

Msaada please, maana ni wiki ya 3 sasa earphone ziko useless na nimenunue siku si nyingi.

Kwa ambaye hakifahamu kitu ninachozungumzia ni hicho hapo chini (kikubwa hicho)

images%20(2).jpg
 
Lazima vitakuwepo Ebay au Amazon na labda kwenye ile app ya kikuu.

Aisee hivi vidude huwa sivielewi kabisa ngoja nistick na wires tu au kama ni wireless basi ni headphones.
Imagine kikidondoka tu ndio basi tena itabidi uwaingizie apple faida kwa mara ya pili.

Hizi companies zinazoproduce hizi bidhaa wamekuja na bonge moja la business strategy.
 
Any au Amazon ni watu/ kampuni gani mkuu..?
 
hizi ni OG au ule utumbo wa 30k!!!!

kama ni og tamfuta mtu akuagizishie nje tu,kama ni hizi fake nenda kkoo na elfu 3 utapewa.
 
Hz mkuu ni za bei rahisi tu.. nilinunua 30,000/= yakitanzania
 
Back
Top Bottom