Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,483
- 38,375
Mkuu nilifika pale hawanaJumbo Camera House.- Benjamini Mkapa Towers opposite Posta Mpya
Asante Mkuu, Telescope nenda pale Jumbo Camera HouseNenda game mlimani
Niliwahi kuziona kipindi flani nilipoenda kupooza mwili
Me nahitaji telescope sijui napata wapi
Yeah mlimani city kuna duka lipo upande wa kulia kama unaingia ndani[ilipo benki ya crdb], baada tu ya benki kuna kiduka kimoja halafu ndo utaliona hilo duka lipo kwenye engo kulia, na bei zake zinaa anzia kwenye 300,000 na kuendelea kutokana na uwezo.
Duhhh Telescope kama kina Galileo Galilei? Unataka kuwa mgunduzi wa sayari za anga za mbali?Nenda game mlimani
Niliwahi kuziona kipindi flani nilipoenda kupooza mwili
Me nahitaji telescope sijui napata wapi
Wewe ndo umetukorogea saSADarubini=microscope kukuza vitu vidogo mara nyingi hospitali
Hadubini=binoculars kiona mbali
Hebu tofautisha unachohitaji hapo watu watiririke kukusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya hizo kuna telescope,periscope na electron microscope lazima tuwe specific hapa tunaelimishana mkuu
Mzee binoculas ndo Darubini, na Microscope ndo HadubiniLicha ya hizo kuna telescope,periscope na electron microscope lazima tuwe specific hapa tunaelimishana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hi pichani ipo bei laki2.50Nilirudi nayo toka China mwaka Jana
Hata mimi natafuta hiyo makitu mkuu
kule ghorofani au chini?Jumbo Camera House.- Benjamini Mkapa Towers opposite Posta Mpya
Nenda game mlimani
Niliwahi kuziona kipindi flani nilipoenda kupooza mwili
Me nahitaji telescope sijui napata wapi
Write your reply... Ulipata hiyo darubini? Na kama uliipata uliipatia wapi? na ni bei gani?
Opposite mkuu! Nenda kadese tena.....Darubini=microscope kukuza vitu vidogo mara nyingi hospitali
Hadubini=binoculars kiona mbali
Hebu tofautisha unachohitaji hapo watu watiririke kukusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app