Wapi naweza kupata Darubini??

Wapi naweza kupata Darubini??

Nje ya mada. Samahani mtoa mada.

Utoto raha saana. Nilikuwa naiba Darubini ya mzee nakaa kisha nasimama njia kuu najificha mahali nachungulia watu wanavyopita pita.

Nazoom kabisa..siku nikazoom jongoo nikajua nyoka ananikaribia machoni niliirusha ikatapakaa.
 
Kweli utoto raha, wa kusimulia tukio nje ya mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mada. Samahani mtoa mada.

Utoto raha saana. Nilikuwa naiba Darubini ya mzee nakaa kisha nasimama njia kuu najificha mahali nachungulia watu wanavyopita pita.

Nazoom kabisa..siku nikazoom jongoo nikajua nyoka ananikaribia machoni niliirusha ikatapakaa.
Hahah

Bahati yako ungeona mjusi undersea mamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mada. Samahani mtoa mada.

Utoto raha saana. Nilikuwa naiba Darubini ya mzee nakaa kisha nasimama njia kuu najificha mahali nachungulia watu wanavyopita pita.

Nazoom kabisa..siku nikazoom jongoo nikajua nyoka ananikaribia machoni niliirusha ikatapakaa.

[emoji23][emoji23][emoji23]nadhani siku hiyo ndio ulijua ni kwanini si ruhusa kushika vitu vya baba bila ruhusa.

Lidarubini nalo likafanya makusudi,kila ukilipanga halipangili[emoji38]
 
Back
Top Bottom