Wapi naweza jifunza Lugha ya kiingereza???

Kimunee

Member
Joined
Aug 4, 2018
Posts
55
Reaction score
16
Habari zenu wadau! Naomba kuuliza ni wap kwa hapa Tanzania naweza kujifunza Lugha ya kiingereza na nikaelewa vizuri kukizungumza kwa ufasaha? Na bei zao zikoje na ni kwa muda gani naweza kujifunza na kuelewa? Msaada tafadhar
 
Mtafute Rasi Simba
 
Mtafute Rasi Simba
Bingwa wa kufundisha kingereza na formula zake za ajabu za A+D..... alizojifunzia Marekani na Ulaya.....lilisikika tangazo kutoka kituo cha redio fulani.
 
Habari zenu wadau! Naomba kuuliza ni wap kwa hapa Tanzania naweza kujifunza Lugha ya kiingereza na nikaelewa vizuri kukizungumza kwa ufasaha? Na bei zao zikoje na ni kwa muda gani naweza kujifunza na kuelewa? Msaada tafadhar
Nenda British ila ujipange coz bei zao zimechangamka sana
 
Ingia YouTube kuna courses nyingi sana ambazo unaona na kuyasikia matamshi. Ukitulizana na kuwa makini utafahamu vizuri sana kwa muda mfupi sana.

Back
Top Bottom