Wapi napata raba classic Original za dukani kabisa

Wapi napata raba classic Original za dukani kabisa

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
6,828
Reaction score
21,932
Wazee nahitaji raba zilizosimama,original hasa nyeupe dukani, nimezunguka ila sipati options za kutosha unakuta duka lina raba chache nyingi ni moka, zikiwa nyingi ni mafamba
 
Unataka raba kwa bei gani kwanza,machimbo ya hapa mjini ni kama uko China tu price yako ndio inaamua upelekwe chimbo gani.
 
Unataka raba kwa bei gani kwanza,machimbo ya hapa mjini ni kama uko China tu price yako ndio inaamua upelekwe chimbo gani.
mzee e najua raba iliyosimama haishuk chini ya 75k, ni suala la mimi kupendezwa nayo tu ndugu
 
wazee nahtaj raba zilizosimama, ORIGINAL hasa nyeupe DUKANI, nimezunguka ila sipat options za kutosha unakuta duka lina raba chache nying n moka, zikiwa nying n mafamba
Raba gani?agiza mtoni utaletewa gharama ni pamoja na postage.
Airfoce one inasimama dola 150+,air max 200usd.
Tuanzie hapo.
Unaweza pm.
Hizi akikuona mtu wa dar atajua hiyo kifaa sio ya guangzhou.
 
Ndio ajiongeze achukue hata vitz,mchina kawaharibu bora mbaki nae.
Huwa nachoka kabisa niko bongo na sneaker kali ya dola 250,anaingia mtu nayo km hiyo ukimuuliza bei 30elfu.🤔
Wivu Huo Mzee, unataka upendeze mwenyewe tu!?
 
Mmeulizwa swali mnaanza ku mdiss mleta mada, na Kama alikua anataka afanye biashara
 
Mkuu agiza kikuu ...wale jamaa wana shoes Kali kinoma.....hapa town raba zinachangamoto Sana kuuzwa, reason why copy zimekuwa nyingi mno...ukicheki avatar yangu hapo nimevaa puma ya 100k lkn washikaji utasikia umepigwa hizo mbona zipo za kkoo elf 25000 hahaha......Ila kikuu wana air force 1 140k, air Nike Jordan 250k
1540568713225.jpg
 
Ndio ajiongeze achukue hata vitz,mchina kawaharibu bora mbaki nae.
Huwa nachoka kabisa niko bongo na sneaker kali ya dola 250,anaingia mtu nayo km hiyo ukimuuliza bei 30elfu.

Bongo ni nyoso
 
Ukitaka Raba Original agiza, nunua mtumbani au kwa hapa Bongo angalau Wool Worth utapata kitu Genuine.
Hayo maduka yao sijui ya kina Nani ni midosho mitupuu!!
 
Sema wanagundua tofauti utasikia bro nikuvue laki unusu, aah sometyme unachukua unapiga monde.
Maana akiipata ile mkataba.

Tatizo bongo vumbi kila Kona unayo katiza,alafu nitupie kiatu cha dola kandhaa siku mbili nyingi kinakuwa Kama Cha ilala Boma.
 
Back
Top Bottom