Msaada: Wapi napata Lori za mizigo Dar-Bariadi & Arusha-Bariadi?

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Naombeni mwenye kujua wapi napata hizi lori hasa zinazotembea usiku kutoka Dar-Bariadi mjini na Arusha-Bariadi mjini.

Lakini Pia zinazotoka Huko Bariadi kwenda Dar au Arusha nazipata wapi?..

Kuna mizigo nakua nasafirisha, Mabasi ni changamoto, mara ufike stand wakuambie hamna nafasi ya kutosha, mara Mzani utasumbua, lakini pia cost ipo juu sanaa,

Lakini vile vile mwenye kujua Costa za usiku kuelekea na kutoka maeneo hayo (kama zile za Dar - Moshi, Dar - Mbeya) kama zipo anisaidie..

Natanguliza shukrani.
 
Tembelea parking za malori ya mikoani ongea na madereva vizuri utapata msaada.

Uwezo wangu wa kutoa msaada bure umeishia hapa
 
Back
Top Bottom