Wapi napata raba classic Original za dukani kabisa

Wapi napata raba classic Original za dukani kabisa

Raba gani?agiza mtoni utaletewa gharama ni pamoja na postage.
Airfoce one inasimama dola 150+,air max 200usd.
Tuanzie hapo.
Unaweza pm.
Hizi akikuona mtu wa dar atajua hiyo kifaa sio ya guangzhou.
hizo airforce zinakuwa tofauti na hizi airforce za vunja bei za sh.35000?
 
Back
Top Bottom