Niko hapa Katotorwansi Bukoba, njoo nikuuzieKama kichwa cha habari hapo juu,natarajia kuja Dar es Salaam,nitakaa kama week mbili kwa ajili ya manunuzi yangu,ninahitaji ac kama tatu hivi,ni wapi hapo jijini nitapata air condition nzuri kwa bei nafuu.Asanteni