Wapi Mwanasiasa Mkongwe Hamad Rashid? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi Mwanasiasa Mkongwe Hamad Rashid?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 11, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Tangu asasambuliwe kwenye mdahalo na mwenyekiti wangu (FM), bwana huyu aliyejibatiza kisifa cha mwanasiasa mkongwe sijamsikia tena.

  tatizo la kurudi ccm ndo hilo. ukihama ccm, siku moja ukarogwa ukarudi watakufanya uwe hata mpiga deki.

  wapi mwanasiasa mkongwe? wapi hamad rashid? wapi mzee wa "process ya siasa ni mchakato"?

  nauliza wapi?
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ameenda kuwinda nguruwe walioachiwa shamba .....
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  taratibu mkuu nsije nkapaliwa na valuu!!
   
 4. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  nani 4mer mkuu wa kambi ya upinzani?
   
 5. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sabala kheir yaheee wajisikiaje na hali AMIII.
  Wan' tafuta mie yahe niko navuna karafuu sasa hivi niko kisiwaniiiiii -----Pemba
  karibu 'nhogo kwa dagaa amii.
  na sikukuu hii ya mapinduzi takuwa zangu N"TAMBWE kwa maaalimu karibu sana yahee. Ishaallah Tukijaaliwa.

  "The trouble ain't that there many fools, but the lightning ain't distributed right" Mark Twain
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  si alijidai mwanaharakati kumbe ni mnafiki wa kutupwa sasa atakula unafki wae...........................pambaaaaf sake.
   
 7. kagumyamuheto

  kagumyamuheto JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa anafuatilia mafunzo yake kwa Mbowe kama yanakwenda kama alivyomfundisha.
   
 8. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yuko Mchambawima anajiandaa kurudi na kukalia viti vyetu vya mjengoni!
   
 9. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  hahaha umeiniifanya niongeze dk moja ya kuishi kwa kucheka
   
Loading...