kamdinyoGoooooool! Wema ni kumanyoko!
Man City kudinywa nje nje!
Ni kweli ila Kwa timu ilivyo imekosa kabisa morali ya ushindiSio leo Mkuu, ishamkataa
Manyumbu nawaonea sana huruma. Kama kanuni ingeruhusu tungewagawia points kadhaa.Sio rahisi hivi, mkibeba basi Manyumbu wanashuka daraja
Umechanganyikiwa hadi hujui ulichoandikaTimu ipo ila kocha hayupo maana anayumia mifumo ya haieleweki
Watimue kocha chap! Kawaangusha sana.Sio leo Mkuu, ishamkataa
Nasikia kocha Como aliwaambia wachezaji wake wapunguze misifa wasije wakamfunga kubwa jinga goli kumi 😂Achana nao wale. Washuke tu. Tunataka maadui wapya
Kosa siyo kocha...Watimue kocha chap! Kawaangusha sana.
Ni kweli ila Kwa timu ilivyo imekosa kabisa morali ya ushinSio leo Mkuu, ishamkataa
Nadhani unapaswa kuheshimu wengne ndio ujibu majibu yako hayoUmechanganyikiwa hadi hujui ulichoandika
Nikajua wako na Manqoba wamchukue Davids! Ok.Kosa siyo kocha...
Man yuu nawaonea huruma sana kule chini, mtu huwezi cheza game 9 halafu point 7Kila kitu kina musim wake,kama ni utemi wenu umefika mwisho.
Mtafungwa sana kama Man U
Hiki nini? Mtuache the citizens.
😂😂😂Man yuu nawaonea huruma sana kule chini, mtu huwezi cheza game 9 halafu point 7