Wapi Laurence Marsha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi Laurence Marsha?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by KAMANDA HANGA, Feb 21, 2012.

 1. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jf naomba mwenye taharifa za wapi alipo na shuguli anazofanya huyo waziri wa zamani wa mambo ya ndani na mwanasheria mahiri na mwanzilishi wa IMMMA Advocate. Kumekuwa na uvumi mwingi juu ya mwanasisa huyo kijana; wengine wanadai kafulia sasa anakampuni ya kuzoa taka, wengine wanadai ni mmoja wa wakurugenzi wa lake oil akiwa na ritz, ila kibaya zaidi hata shuguli za IMMMA hatumuoni wala kumsikia, na hata Kempinski level 8, Much more bills na kwingineko haonekani. Tafadhari mwenye habari ya uhakika juu yake atujuze tuondoe walakini. Naomba kuwasilisha.
   
 2. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ha!Kweeliii!
   
 3. K

  Kimberley Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Let the guy live his life!!! ukijua atakusaidia nini kwenye maisha yako?
   
 4. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Great thinker hawi na hasira zisizo na busara. Nime clarify kuwa lengo ni kuondoa tetesi zisizo na ukeli kusudi huyu bwana asafishike. Unachukia nini kwani wewew nani kwake? Jadiri hoja sio hasira.
   
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ijumaa last week nilimwona Arusha
   
 6. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  unamuulizia mtu mwenye urahia wa nchi mbili tz na US pengine ashatambaa mbele
   
 7. dony2680

  dony2680 JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Masha Jembe langu la ukweli
   
 8. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kafulia ana kampuni ya kuzoa takataka...? Kila nyumba ni shilingi 10,000 kwa mwezi, kuna malori yale zaidi ya kumi na yanaonekana from Mikocheni to Masaki. Hesabu za fasta fasta tuu akipata contract ya nyumba 100 tuu revenue collected ni 1million Tshs! Na hiyo ni contract za residential dwellings tuu. Kama anafanya biashara hiyo huyu jamaa hajafulia - he is laughing all the way to the bank!!
   
 9. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  muulize rafiki yake wa karibu Ezekiel Wenje
   
 10. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Umemkosa Rose Garden?
   
 11. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Anachoma Mahindi, pale bughuruni rozana.
   
Loading...