wapi kazi za Ba in History?

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,148
27,131
wakuu kuna jamaa yangu kasoma hiyo kitu, analalamika kwamba hajawahi ona nafasi za kazi zenye kutaka qualification zake, je hizo kazi zipo au ndo alishaingia cha kike?
 
Hawezi kuwa alisoma history tuu! Na km alikuwa UD maana yake alikuwa faculty of arts and social sciences... amesoma research na mikozi mingine isiyo ya history mingi tuu. Kila anapoona requirement ni "A bachelor degree in social sciences" anawezatia timu... cha muhimu pia ni compitencies alizozidevelop km social scientist
 
thanx esther, hii itamsaidia
 
Acheki na Jude Thadeus R'waichi au Kardinali Pengo...wanaweza kumpa maisha pale...BUJORA Mesium...jijini Mwanza.
 
Wabongo fungukeni akili, acheni utoto, acheni kukopi. Nani kasema history haina application? Nyinyi wenye mawazo madogo pamoja na serikali yenu inayo copy sera toka marekani bila kuwa na historia ya malekani. Nataka ni wambie historia ni muhimu. kwanza kama hamjui inahusu mambo yalio pita, yaliopo na yanayokuja, Ina husu mambo gani? inahusu hayo mambo uliyosomea wewe, ambaye unafikiri accounting ndio muhimu sana. Serikali, makampuni, NGOs zinatakiwa ziwatumie wanahistory. Ushauri kwako wewe jamaa uliyetoa hii maada (Ingawa umejifanya sio kumbe ni wewe) Naungana na jamaa hapo juu kwamba tafuta Research Organization ukaapply ujuzi wako.
 
sema ni wewe unazuga..
kweli MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO, kipi kinachokufanya mfikiri kwamba ni mimi? Sina haja ya kuficha kile nilichonacho.
 
Back
Top Bottom