wapi kazi za Ba in History?

bacherol of arts in social science majoring in history from udsm (cass), s/he can be a histor teacher, a researcher, comunity oficer, dvlpment oficer, a philosopher...he can work at bank as lead generator(direct sale), cn be emplyd at ministry ov information under culture dpatment, wizara ya maliasili e.t.c as far s/he is a degree holder s/he can be useful and work in many NGO..BUT nasikitika ajira hazipatikani..mpe pole na namkaribisha ktk jumuiya ya wasiokuwa na ajira.
 
Kwani kazi lazima kuajiriwa?

Kulikuwa na mchizi mmoja huyo dogo back in the days alimaliza Tambaza, akawa anasubiri matokeo yake ya form six, muda huo huo kawakusanya vijana kibao wa form 1-4 anawapiga msasa hesabu uswahilini huko mitaa ya Manzese, jamaa alikuwa hata Chuo Kikuu hajaingia lakini alikuwa na wanafunzi kibao. Na mie nikafikiri kawachota kwa sababu hawajui kitu anawapelekapeleka, akanichukua siku moja na kunipeleka "darasani kwake". Nikagundua kwa nini anapendwa sana. Alikuwa anafundisha vizuri kuliko walimu wa serikali halafu anafundisha kiushkaji kwa watu wanaomlipa kwa hiyo hakuna mzaha.

Huyu kijana alinifundisha mengi sana. Hakuwa privileged, mtoto wa Manzese kabisaaa. Ila aliipa elimu umuhimu akawa mkali wa hesabu. Halafu akawa na moyo wa ujasiriamali, hakusema "sina degree, sijasomea ualimu" aliona kuna a need that has to be served na wakati huo huo anaweza kutengeneza kipato. Mtu kama huyu akienda popote under constant conditions anafanikiwa.

Ilhali wengine hata wakiwa na PhD watazidi kuona matatizo magumu.
 
bacherol of arts in social science majoring in history from udsm (cass), s/he can be a histor teacher, a researcher, comunity oficer, dvlpment oficer, a philosopher...he can work at bank as lead generator(direct sale), cn be emplyd at ministry ov information under culture dpatment, wizara ya maliasili e.t.c as far s/he is a degree holder s/he can be useful and work in many NGO..BUT nasikitika ajira hazipatikani..mpe pole na namkaribisha ktk jumuiya ya wasiokuwa na ajira.

mkuu hii ya kuwa mwalimu umechemka.
Kujua kwake History hakumfanyi kuwa mwalimu. Kama vp gvt ingempa ajira hiyo maana mpaka sasa bado kuna shule hazina walimu.

Mkuu ualimu ni taaluma na sio kujua history, usimuone tu mwalimu darasani ujue kabeba vitu vingi kichwani mf. Curriculum, psychology, measument and evaluation, nk nk.
Sasa huyu kwa Ba yake ya history anajua jinsi ya kutunga mtihani? anajua vality of a test? Anaweza kutafuta test reliability? Anazijua bloom's taxonomy?
Haaaah haah hawezi kuwa mwalimu mkuu usimdanganye.
 
Agombee ubunge au udiwani. njoo nikufundishe jinsi ya kuanzisha NGO ya kusaidia watoto wa mitaani au wazee.
 
mkuu hii ya kuwa mwalimu umechemka.
Kujua kwake History hakumfanyi kuwa mwalimu. Kama vp gvt ingempa ajira hiyo maana mpaka sasa bado kuna shule hazina walimu.

Mkuu ualimu ni taaluma na sio kujua history, usimuone tu mwalimu darasani ujue kabeba vitu vingi kichwani mf. Curriculum, psychology, measument and evaluation, nk nk.
Sasa huyu kwa Ba yake ya history anajua jinsi ya kutunga mtihani? anajua vality of a test? Anaweza kutafuta test reliability? Anazijua bloom's taxonomy?
Haaaah haah hawezi kuwa mwalimu mkuu usimdanganye.

any one can teach so longer as amefundishwa kwa three yearz and major at it, atashndwaje kufundisha history ya form 4? Serikal haimuajir cz hakujaza form kama walimu wanavojazaga wakimaliza au kabla ya kumaliza chuo, i av degree in b.a language bt i cn teach englsh, sw, french at am nt a teacher, infact udsm kulikuwa na form unajaza kama unataka fundisha kwa wasiowalim na unapangiwa, pia kusema serikal ina uhaba wa walimu ivo wangemchukua, wangap wamesomea uwalim wapo mtaan, gvnt haina pesa za kulipa walim mishahara.
 
kingine v2 kama saikolojia mambo ya CT n.k vinafundishka na kuelekezeka, hvyo usiweke sana uzito, mwisho mimi sio mkuu naitwa dada kilahunja..sayonara/kwaher
 
any one can teach so longer as amefundishwa kwa three yearz and major at it, atashndwaje kufundisha history ya form 4? Serikal haimuajir cz hakujaza form kama walimu wanavojazaga wakimaliza au kabla ya kumaliza chuo, i av degree in b.a language bt i cn teach englsh, sw, french at am nt a teacher, infact udsm kulikuwa na form unajaza kama unataka fundisha kwa wasiowalim na unapangiwa, pia kusema serikal ina uhaba wa walimu ivo wangemchukua, wangap wamesomea uwalim wapo mtaan, gvnt haina pesa za kulipa walim mishahara.

Mkuu unajichanganya kufundisha sio ualimu mkuu!
Teacher is more than teaching sidhani kama unanielewa lakini.
Nimekuliza mtihani atatunga vipi?
Mkuu kumbuka hata std 7 anaweza kumfundisha stdt 1 je tumuite std 7 kwamba ni mwalimu?!

Narudia tena mkuu ualimu ni zaidi ya kufundisha.
 
Back
Top Bottom