Wapi jukwaa la wakubwa

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
474
Jamani maranyingi huwa naona watu mkisema jukwaa la wakubwa nikingia home sioni kitu , hebu mnielekeze wapi maana na mie ni mkubwa
 
Jamani maranyingi huwa naona watu mkisema jukwaa la wakubwa nikingia home sioni kitu , hebu mnielekeze wapi maana na mie ni mkubwa

huko mpaka uwe na miaka 60 na zaidi .... Kama unayo muone Invisible akupeleke
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom