Wapi imewahi kutokea hii?

Kwenye kura walitudanganya sana. Alafu wanahisi hii nchi labda ina watu vilaza sanaaa. Eti wapiga kura walioandikisha kupiga kura walikuwa Mil 35 then waliojitokeza kupiga kura ni Mil 32, Alafu mil 31 wakamchagua mama! 😄😄😄what a shame is this! Yani vurugu zile zote then watu wahudhurie kwa kiwango kikubwa kupiga kura kuliko chaguzi zote zilizowah kupita! Imagine kipindi cha Magufuli, uchaguzi ulikuwa na amani na Chadema chama kikuu cha upinzani walishiriki, Ila kati ya wapiga kura walioandikisha Mil 15, ni wapiga kura Mil 7 tu ndio walihudhuria kupiga kura!

Nawaza kwa uongo wa namna hii, hata tafti zao watakuwa wanapika data sana hawa jamaa. Alafu wanajisahau kujipa maswali kbs!
 
Ni dalili za utawala uliofitinika. Na unakaribia kuondoka
 
Ushindi wa mchongo ule, hawa watu hata aibu hawana, vituo vingi vilikuwa empty amri ikatoka juu wasimamizi watie tiki ili boss ashinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…