Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
Kila siku ni habari za vua gamba vaa gwanda,yaani ccm na cdm tuu! Vile vyama vingine tulivyokuwa tunafundishwa kwenye civics vimepotelea wapi? Au havina wagombea nini. G9t
cuf mke wapili wa ccm,nccr mageuzi mke wa tatu wa ccm.wengine aidha kwa kuogopa ndoa ya mkeka wamelala mbele kimebaki kidume chadema hakitaki mke wala mshenga kinataka haki kwa kila mtanzania.
IUNGE MKONO CHADEMA KWA UKOMBOZI WA TANZANIA.
Mbona mi sijafikisha miaka 18 bado jamani.Nitajiunga cdm muda ukifika
18 ni umri wa kupiga kura, lakini unaweza kujiunga hata ukiwa na umri chini ya hapo....mbona mtoto wangu amepiga gwanda angali mama yake hajafika labour? Yuko tumboni lakini anagwanda.....huo ndio UZALENDO.....KUWA NA UCHUNGU NA NCHI YAKO HATA KABLA YA KUZALIWA......WATASEMA KWELI MWAKA HUUU!!!!!
Hamtaisha kutukana, sijui ni nini, kiburi cha mafanikio?yaani umenikumbusha nilishavisahau, mrema anaangalia wagonjwa kcmc na kupeleka majeruhi,., mbatia yk nccrccm, cheyo kama una kumbukumbu angalia arumeru vilikuwa vyama vingapi. nilifanikiwa kumuona mgombea mmoja sikumbuki chama gani akisukuma gari utawaona tena 2015
|
| |
|