Wapi bujibuji ?

Wapi bujibuji ?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,787
Tangu nimeingia humu, haikua inapita masaa ikiwa sijaona mtu mzima huyu kuliona jina lake nyuzini. Na hadi kufikia namuulizia ni pia kwa kumbukumbu zangu ndiye alikua membar wa kwanza ku'shere comments katika thread yangu ya kwanza Jf.
Takriban wiki inaenda ya 3 simuoni humu, uko wapi Mazee ? Au jirani yake anifikishie ujumbe kwake.
 
Atakuwa kiraracha
anahesabiwa
kule nokia ya toch
haina network!
Hata mi nimejiuliza
mno sijapata jawabu
 
atakuwa ukweni huko mwanza
alikuwa hajamalizia mahari
wakwe wamekuja juu ikamlazimu kwenda
kuweka mambo sawa.
 
Huu mwezi, mbona watapotea wengu humu....................... nyie subirini tu!
 
Haya ! Labda Mbeya ! Labda Moshi ! Labda Mwanza ukweni ! Lakini Mtambuzi umefikiri nje ya kiwanja cha mpira kabla hujaingia mchezoni ! Ni kweli mwezi huu watapotea wengi. Watu wanakoenda hijja kwingi Netwk holaa. Labda Kongosho atatuambia alipo wako karibu nae sana.
 
Haya ! Labda Mbeya ! Labda Moshi ! Labda Mwanza ukweni ! Lakini Mtambuzi umefikiri nje ya kiwanja cha mpira kabla hujaingia mchezoni ! Ni kweli mwezi huu watapotea wengi. Watu wanakoenda hijja kwingi Netwk holaa. Labda Kongosho atatuambia alipo wako karibu nae sana.

mmmh, mtoto sina.
 
Bujibuji yupo hanemuni au kafukuzwa kazi au yupo likizo net ya bure apati na simu yake Siemen C25 imeibiwa
 
atakuwa ameenda kufanyiwa matambiko kwao ila mi simjui freshi huyu kwani yukoje. Nitarudi baadae
 
yupo likizo na internet aliokua anategemea ni ya ofsini hivo tusubiri hadi likizo ikiisha
 
yupo bize na maandalizi ya nguo za sikukuu za watoto wake..
 
Bujibuji si uwajibu member, nimekuona kwenye list ya members online
 
Mwacheni jamani, May be anajipanga si mnajua muda wa SENSA umefika? Mwacheni aende akale X-Mass.
 
Alienda kuoa kijijini,
naona ana kazi ya kumfundisha,
yasijemkuta ya 'profesa jey'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom