Watu wamekumiss sana hapa. Kwa muda mfupi uliokuwa nao hapa JF umejijengea marafiki wengi, that is good. Well, kuhusu muziki...... napenda sana, sana, sana but I can't sing (sadly)... napenda sana love songs.... I think I am a bit emotional... It's disputable but I consider the Song "Truly Madly Deeply" by Savage Garden to be the most beautiful song ever sung by a human being. Just check its details at Truly Madly Deeply - Wikipedia, the free encyclopedia if you get time. BTW thread inasema: Wapi Ashadii, mimi ninasema:
Welcome Back Ashadii, we missed you!
.... thou will still be working out as in how/why you find it the best ever....
Thank you 3D i am glad to be back.
That's true.....
Very interesting.
I wonder if you will get to know why... try.... I first listened to that song on Saturday August 8th, 1998.
Usikasirike, hii kiswahili yake, labda utaikumbuka:
Ewe kiumbe wa shani nalipenda umbo lako
Mzuri uso kifani kakuumba Mola wako
Katu humu duniani hapana mfano wako
Ewe ua la peponi waridi lisilo miba
Kwenu kakutoa nani kwenye masikani yako
Bilisi au Ruhani kakuiba kwa wenzako
Mabanati wa peponi hao ndio fani yako
Ewe ua la peponi waridi lisilo miba
Faiza is it a song or poem?? Nimependa saana maneno...
and kama ni wimbo would like to know it nisikilize....
Ni nyimbo ya taarab ya zamani inaitwa "ua la peponi", imeimbwa na Nad Ikhwan Safa au Malindi na muimbaji ni Al Marhum Seif Salum (or at least the version I know of )
Faiza Fox usisahau kuweka na chanzo cha tungo yako mara nyengine
Faiza is it a song or poem?? Nimependa saana maneno...
and kama ni wimbo would like to know it nisikilize....
Dah! Thank you...I thot sijui ni poem....lol... enways hivi nikitaka huu wimbo
naweza pata You tube? Au kuna any means waweza nisaidia ku upload hapa??
Its a song darling, Taarab at its best.
Dah! Thank you...I thot sijui ni poem....lol... enways hivi nikitaka huu wimbo
naweza pata You tube? Au kuna any means waweza nisaidia ku upload hapa??[/QUOTE
Waridi Lisilo Miba - Seif Salim
Na hapo utamsikia Seif Salum akiiimba
Duh kumbe na wewe ni mtaalamu katika hii fani, basi naomba unitafutie kama unaweza kuna taarabu moja "Nakata Kunena, Kuwafahamisha.." sijui ni nani aliimba lakini this is one of the taarabu ambayo naipenda sana na nimekuwa ninaitafuta kwa miaka mingi sasa bila kuipataVerba Africana — Taarab performances — Waridi lisilo miba (Rose without thorns)
Hapo utapata beti zilizobakia .....kwa kuanzia
Duh kumbe na wewe ni mtaalamu katika hii fani, basi naomba unitafutie kama unaweza kuna taarabu moja "Nakata Kunena, Kuwafahamisha.." sijui ni nani aliimba lakini this is one of the taarabu ambayo naipenda sana na nimekuwa ninaitafuta kwa miaka mingi sasa bila kuipata
Gaijini weka na links za mohamed nani sijui
kuna nyimbo moja inaitwa kitu kama
umerudi tena,umeukumbuka utamu....
Something like that.....