Wapenzi wakukutana mitandaoni

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,325
9,182
FB_IMG_16459530916013809.jpg
hapa nazungumzia wale wanatongozeana kupitia mitandao ya kijamii,, maisha yao huwa hivi,,

1)baada ya kukubaliwa ombi mawasiliano huwa matamu sana
FB_IMG_16459425746996928.jpg


2)baada ya kupeana mautamu kwa mara ya kwanza
FB_IMG_16459412773595143.jpg


3)mlipo agana kila mtu kwake 【mikoa tofauti】kila mmoja atakuwa anakesha na simu kukufatilia kama umetoa siri ya mlivodate, au kuna mtu anakunyemelea hii unasahau hadi kumpigia simu kumjuilia hali huyo mpenzi wako wa mtandaoni.
FB_IMG_16459420867254873.jpg
FB_IMG_16459420367910901.jpg
4)ulipo gundua yupo online hadi usiku wa manane ila hakwambii ata gudnight unaamua kukesha kwenye chaji
FB_IMG_16459420039857944.jpg


5)ulipoona kama vile wewe ndo unalazimisha mapenzi ukaamua usikilize mziki kila ifikapo usiku
FB_IMG_16459415081969719.jpg


6)siku ziliposonga mwenza wako wa mtandaoni akakukumbuka safari hii akahitaji aje akae kwako kbsa ila ndoivo nae hajiamini kwa wapenzi alionao
FB_IMG_16459410773539210.jpg


7)mkitoka nae matembezi anakuwa na wasiwasi wa kufumaniwa hivo matembezi na wewe hakuna labda lodge
FB_IMG_16459412066097114.jpg


8) baada ya kutumiana sana nyuchi sasa wapenzi halisi nje ya mitandaoni wanaanza kusumbua
FB_IMG_16459411332639208.jpg


9) kwakuwa uliaga kwa mpenzi wako halisi kuwa upo kikazi somewhere, kabla hujaridi nyumbani kwa mpenzi wa mtandaoni unaamua uwasiliane kwanza na mpenzi halisi
FB_IMG_16459537097592736.jpg


10) baada ya kuchoshwa na utumwa hapa ndio visababu vya hapa na pale huibuka km vile mbona hatuzai watoto, mbona hunipeleki kwenu yote haya tu mmechokana
FB_IMG_16459411074537545.jpg


la mwisho kabisa couple za mtandaoni haziwezi kukaa na kutatua changamoto zao pia haziwezi kukaa na kujadili mambo endelevu ya msingi. hii ni kwavile kila mmojawapo anajipa kiburi cha akikosa hiki wapo wengi fb ntawapata au akijishaua ntamchukua flani wa inst maisha yatasonga.


jumapili njema kwenu.
 
Hata hivo mapenzi ya mtandaoni ni ya kufurahishana tu hutakiwi kuyawekea userious kabisa..mapenz siku hizi hayapo real sehemu zote ivo ukimpata enjoy mpaka mtakapochokana then u go on
 
la mwisho kabisa couple za mtandaoni haziwezi kukaa na kutatua changamoto zao pia haziwezi kukaa na kujadili mambo endelevu ya msingi. hii ni kwavile kila mmojawapo anajipa kiburi cha akikosa hiki wapo wengi fb ntawapata au akijishaua ntamchukua flani wa inst maisha yatasonga.


jumapili njema kwenu.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom