Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Hiyo ni kutumia silaha ulizonazo kumwangamiza adui.. Bora angejichukulia pesa kwa baker akasepa
Alafu barker alitaka kumpa mpunga mrefu tu yule mzee mafia sana mi tangu amchome moto yule mzungu aliyetaka kumtoa moyo namwogopa sana barker
 
Sijasahau ila sikuiona hiyo sehemu ambayo pastor alikula mzigo, nnachokumbuka ni kua zuki alizimika na Pastor by that moment
Siyo kweli pastor hakula mzigo wala nini. Alimzengea lakini hakumpata. Sizwe alikwenda hoteli tayari kwa fumanizi lakini alikuta pastor amelala chumba kingine ila alisahau koti.
 
the only thing i like about this soapie, wahusika wanauvaa uhusika ipasavyo, mtu aki act kama mtoto basi anaonekana mtoto kweli kweli. mfano kama aphiwe katika hali ya kawaida wanavyomuigizisha utasema yuko 18 yrs na charlie ndo mkubwa kuliko yeye, kumbe aphiwe kampita charlie miaka minne mizima
 
Kusema kweli ka aphiwe nilikuwa nakatamani, nilipofuatilia details zake nkakuta kanipiga gap miaka kadhaa mbele, ikabd nkubali kumpa shikamoo yake.
 
Back
Top Bottom