WAPENZI WA SOCCER (Barcelona India Version)

WAPENZI WA SOCCER (Barcelona India Version)

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,407
Masela wanatesa sana pande za Tamil Nadu ..! kombe ya mbuzi! Juzi kati walimpiga Delhi United bao 6


396850_149989011782538_100557246725715_219547_1230223465_n.jpg

​
 
Huyo aliyefunga kilemba ndio kocha wao?
 
Wabaya wao wa ligi ni REAL MADRID.
Barca wanawaonea hao wa mbuzi.
 
haha kocha kapiga kubazi ... wachezaji njumu na rangi za soksi kila mtu ya kwake ...
 
hahahaaaaa, yani kila nikiangalia hii picha nacheka mwenyewe.... villa anaonekana kama amekumbuka kitu hivi sijui ni hom au kitaa
 
Nimewakubali Xavi na Iniesta..kwa jinsi walivyo balaa wamepiga tracksuit kudadadeki..!
 
Duh. Kumbe hapo waliposimama ndio uwanja wenyewe? Hii kali
 
Nimewakubali Xavi na Iniesta..kwa jinsi walivyo balaa wamepiga tracksuit kudadadeki..!

Danny Alves utadhani Kibaka flani hivi... hehe:lol:
 
hahaha Keita kajichubua halafu akabaa wigi na Barcelona wakiiona hii wanaenda ICC the Hague.
 
Back
Top Bottom