Wapenzi wa Sidney Sheldon mpo?

Doomsday Conspiracy is my favorite
Commando Robert Bellamy ni sterling wa ukweli kwenye Doomsday Conspiracy. Ame combine intelligence, knowledge, instincts, na nguvu

Inaonyesha jinsi gani watu wa system wanavyoweza kugeukana. Mtu wao hata akiwa ni asset wanaweza wakampa task aka i execute efficiently kumbe wana plot kum eliminate pia!!!

Commando Bellamy alikua kipenzi cha bosi wake yule head wa NI S lakini alimsikitisha boss wake pale alipotaka kuacha kazi akakae na mupenzi

Ndani ya system Ikaundwa operation haramu ndani ya operation halali ya kuwatafuta witnesses walioona "weather baloon" linaanguka katika kijiji cha Utendorf kilichopo Switzerland ili waambiwe "umuhimu wa kukaa kimya"(kuuliwa)

Akiwa hajui lolote Bellamy akawa picked kutekeleza kazi hii chafu huku kumbe naye akiwa anawindwa amalizwe mara atakapo kamilisha kazi ya ku identify witnesses wa flying saucer ikiwa na UFOs

Very interesting book indeed hasa kwa wanaopenda kazi za kitengo maana utakutana na terminologies zao za kutosha kabisa
 
Back
Top Bottom