Wapenzi wa Sidney Sheldon mpo?

Kuna ile bloodline nayo ilikuwa bomba mbaya kiasi nahisi ndo ulikuwa mwanzo wa Lucky Santangero ambae aliendelea kuwakuwa main character kwenye vitabu vingine vingi vya Sedney
 
Hapa ni Stephen King tu kwenda mbele
Screenshot_2019-09-08-20-57-36-978_com.miui.gallery.jpeg
 
Nisaidieni faida tano za kusoma hizo novels make mi nakumbuka nilikua nasomea tu kwasababu ya kujibia pepa tu tangu nimalize sijawah waza kusoma novel na niimalize coz hivo vitabu vinaguaga na mapage lukuki.kwel mi mvivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mi ndo nimemaliza kingine kinaitwa nothing lasts forever,
nilianza na Rage of Angels, nikaja na memories of the midnight.

Uandishi wa huyu nguli Ni balaa
 
Kweli kabisa mkuu!

Yan ukisoma novel zao unapata maarifa mengi na pia unavutwa kihisia haswa.

Mi ntaendelea kusoma novel zao moja baada ya nyingine Hadi nimalize.

Naamin zitanisaidia Sana maishan
 
Wakuu mi ndo nimemaliza kingine kinaitwa nothing lasts forever,
nilianza na Rage of Angels, nikaja na memories of the midnight.

Uandishi wa huyu nguli Ni balaa
Nothing Lasts Forever kiko very emotional. Pale unakutana na wale madaktari wadada wenye kipaji. Madaktari ambao wamezaliwa kuwa madaktari na sio wa kulazimisha. Nadhani ningekisoma hiki mapema nikiwa O Level kingenihamasisha niende mchepuo wa PCB nami nikasomee utabibu
 
Kweli kabisa mkuu!
Wale wadada ni akina Paige, Honey na Kat. Japo Kati ya hao Ni wawili tu ndio walikuwa surgeons.

Walikuwa Ni madaktar wazur Sana ila Kuna senoir doctors walikuwa Kama wanawakosoa Sana.

Kunawakati Paige Taylor alipigwa mikwara na senior dr Lawrence Barker hadi paige akataka kuacha Kaz. Lakin baadae Dr. Barker anamwambia Paige kuwa alifahamu umahiri wake, na hakuwa akimkosoa kwa Nia mbaya, bali alitaka Paige aongeze juhudi zaidi.

Back
Top Bottom