Wapenzi wa Sidney Sheldon mpo?

Wapenzi wa Sidney Sheldon mpo?

Nilipitia hiyo ya Rage of Angels, ila sijui sikuhizi nimekuwaje siwezi kabisa kusoma novels, labda majukumu yamekuwa mengi au sijui ni hizi smartphones ndio zimenifanya nimekuwa hivi? Hata sijielewi...
 
Nilipitia hiyo ya Rage of Angels,ila sijui sikuhizi nimekuwaje siwezi kabisa kusoma novels,labda majukumu yamekuwa mengi au sijui ni hizi smartphones ndio zimenifanya nimekuwa hivi?hata sijielewi...

Smartphone mzee, zinaua sana morale ya kusoma.

Huwa najipa atleast one hour kila jioni ya kusoma kitu muhimu, mfano nikiwa na novel ya kusoma au kama kuna kitu tu cha kujielimisha nacho, inabidi unaweka ratiba na uhakikishe unaifata.
 
Hivi vitabu ni theme ipi, kama vya james hardley au?
 
1117535
1559654121617.png
 
mtu aniazime hata kimoja nisome, week moja au mbili namrudishia. Tushare knowledge jamani tusiishie tu kuringishiana
 
Soma soft copy, huhitaji kuhangaika na hard copies ulimwengu wa sasa.

Kama ni hivyo watu wasingekuwa wanatoa hardcopies tena, kuna utofauti mkuu. sio wote wanaweza kutazama screen za simu kwa muda mrefu hao wakina Mengi na wengineo waliochapisha hard copies hawana akili kama wewe?
 
Sawa, lakini kukushauri tu ni kwamba walio wengi kwa sasa hizo hard copy hawahangaiki nazo sana.

Kuna vifaa vya kusomea ambavyo vinakuwa mbadala wa hardcopy, moja ya hivyo vifaa ni "kindle book reader".

Mengi katoa hardcopy, lakini pia anauza soft copy kupitia Amazon.

Kama unapata wa kukuazima hardcopy humu JF nitakulipia usafiri kukifata kitabu.
 
Kaka I guess mimi ni old school maana nimejaribu kutumia kindle kusoma novels nimeshindwa hivyo kwangu nina Library kabisa ya novels. Nimeanza kununua novels back in 1993 mpaka leo kila nikipata nafasi ya kununua hua nafanya hivyo!
 
Okay, the best thing unayoweza kufanya ni kama huna hard copy, unaweza kuprint kitabu page chache chache ukawa unasoma prints.

Nikiwa nasafiri huwa nina print pages za kitabu ninachokisoma, inakuwa rahisi kusoma.
 
Yap yap...Hii imekaa vizuri!
 
Blood line! na vyote hapo kwa attachment nahisi nimevisoma vyote ila huwa navu=irudia,Kuna Author mmoja ameandika
Series nzuri pia kama hujasoma sijui anaitwa Stiege Larsson
1.The girl with a Dragon Tatoo
2.The girl who mpalyed with fire
3.The girl who kicked the Hornet's Nest
Ila Sydney Sheldon napenda sana vitabu vyake,Vingi nimevisoma na kuvinunua na kuwapa watu wavisome ili nao wafurahi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom