Wapenzi wa Paka

Mwanzisha mada unanikumbusha long time home nikiwa mdogo kulikuwa na paka, sasa panya walivoisha akawa hana majukumu akawa anakamata vifaranga na kula, but what i remember kunasiku mzee alimgombeza kama alivyokuwa akitugombeza sisi kwa utovu wa nidhamu aisee huwezi amini yule paka aliacha ile tabia na akawa mwema kabisa ilinishangaza sana kwa kweli
 
Kinoma[emoji3][emoji3]
Anadeka haasa[emoji3]
Chakula anapenda saana Samaki,lkn mbichi hali hadi nimchemshie kisha namwekea ktk bakuli yake na supu ya samaki hapo anakula hadi analala[emoji3]
Samaki mbichi PAKA akijaribu kumla utamuona kama anataka kutapika vile!

Nafikiri ni SHOMBO la Samaki ndilo linalowasumbua PAKA
 
Ni kweli Kiongozi.

PAKA wanafundishika.

Ila PAKA ana vituko sana, hasa anapokuwa ameshashiba.

Utamuona kama anamng'ata PANYA vile, na kisha anampiga piga VIBAO na mikono yake.

Cha ajabu hatomla yule PANYA.

PAKA.

Navipenda sana vituko vya PAKA.

Napenda sana PAKA.

Nawapenda sana PAKA.

Jamani
 
aiseee umeongea kwa hisia sana[emoji23] [emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]unamaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…