Huyu wa my sister gorgeousmimiView attachment 242123
Wasubiri tu watakuja wahusika
Hapana nyau haliwi ni pet anaependeza ndani ya nyumba tu View attachment 242121
Beautiful kittens n very very cute nilikuwa na mmoja chuoni tangu kakiwa kigoli, balehe uchumba, ndoa hadi watoto,
Wanyama ni kama binadamu kabla hajavunja ungo nilikuwa nalala naye, naenda naye darasani na pengine pote, alipokuja kupata mpenzi wa mtima wake safari nami zikapungua mno, nakumbuka jioni nikimwachia chakula kwenye sahani yake hali mpaka bebi wake aje
Siku anajifungua hakutaka niende popote nilikaa naye mpaka alipopata uchungu na hatimaye kujifungua vitoto vinne vicute hasa
Sitosahau siku naondoka kurudi Tanzania, kuna hisia za ajabu wee acha tu, nilikuwa mzazi kwake na ilibidi nitengane naye nilikuwa nahisi maumivu yake naye alikuwa anahisi ya kwangu
Thanx farkhina
Paka wangu anakwenda chooni kufanya haja zake na akimaliza ana flash, nilipata wakati mgumu kum training.
Mie si mpishi wa nyau 😔😔😔😔
Leo kazi unayo...!!!!
Ku flash? Really? Au unatutania?
Nakuapia mpenz.. 😄
Nishamuonesha kasema atampataje huyo??Anamtakaa!!
Hata me nlikua nnae mampenda hatari lakini akili za kitoto wakati wa kula simkumbuki mama ndio anampikia na kumuosha ila mwenyewe wakati wa kulala lazma aje chumbani kwangu siku alifungiwa milango anaparaza kwenye dirisha langu ile nkiinuka tu kumfungulia namkuta mlangoni yaani hawa wanyama wanafaham sana hasa ukimfunza
Halafu wana staha na aibu za kibinadamu kabisa, siku ya kwanza kumfuma na MKWE alikimbia na kujificha na alichelewa kurudi chumbani,alikuja mpaka dirishani akakaa hapo, yale madirisha ya wenzetu ni kimo cha kifua, nikambembeleza kama mzazi akaingia chumbani lakini alikuwa na haya na kujiona mkosaji kabisa
Hata me nlikua nnae mampenda hatari lakini akili za kitoto wakati wa kula simkumbuki mama ndio anampikia na kumuosha ila mwenyewe wakati wa kulala lazma aje chumbani kwangu siku alifungiwa milango anaparaza kwenye dirisha langu ile nkiinuka tu kumfungulia namkuta mlangoni yaani hawa wanyama wanafaham sana hasa ukimfunza
Jamani umenikumbusha mbali sana!Nilikua na paka wangu niliyempenda sana tatizo mama yangu hapendi anawaogopa.Nilikua kila kila nikilala anakuja nalala naye sasa siku moja nikasahau nikamfungia nje eeh bwana alitoboa wavu wa dirisha akaingia ndani kunifuata basi ikawa ndio sababu mama yangu akampa mtu pesa akaenda kumtupa wapi sijui hakurudi tena.
Nililia sana kiukweli!