Uzi wa Series/Movie ngumu kueleweka

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
40,058
2,000
Habari.

Kuna series ambazo ni ngumu kuzielewa unaweza kumaliza hadi season moja hata zaidi ila uelewi kabisa nini kinachozungumzwa/ lengo la season/movie husika.

Hivyo basi kupitia huu uzi tutaweka majina ya Series/Movie husika ili wengine kama watapenda kuzitafuta basi itakuwa ni kwa mapenzi yao binafsi.

Mimi kuna hii Tv show/ Series production ni HBO kama kawaida wataalamu wa hizi kazi japo nilijitahidi kuangalia hadi season 2 kidogo ya Series hii ila bado niliona kama sijapata picha halisi ya director. Ila na mpango wa kutaka kuanza tena kuangalia hii Series.

1. WESTWORLD

Karibuni kwa movie/ series zaidi ambazo ni ngumu kueleweka.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc. Kichwa Kichafu.
 

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
315
500
Ni kichwa tu tenet imejaa past na future kuna vitu mule vinarudi nyuma badala ya kwenda mbele muvi hii utulie na umakini uielewe kama ujaelewa basi kaaze na 2.22
 

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
40,058
2,000
Kipimo cha Ugumu Ni kipi? Mimi naona ugumu au urahisi wa kuelewa inategemea na Kichwa chako mkuu kwangu naweza nisielewe ila wewe ukaiangalia mara moja na ukaielewa vizuri sana
Tunazungumzia ambayo hata ukizungumza na watu wengine inaonyesha walitumia nguvu kuelewa/ hawakuelewa kabisa na kuacha kuitazama.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom