Wapenzi wa muziki wa Pop tukutane hapa!!

Wapenzi wa muziki wa Pop tukutane hapa!!

Rihanna hakuwa RnB singer na bado sio. Ngoma ya kwanza kumtoa ilikuwa na miondoko ya dancehall/Caribbean. Amekuwa mtu wa fusion.
Pop music una nguvu kubwa sana na hata kwa wasanii wimbo wao ukiwekwa au ukipewa status ya pop husikika na kupigwa sehemu mbalimbali duniani.
Kwa sasa kuna Anne-Marie, Cheat Codes, The Vamps, na wengine wengi napenda kusikiliza.
 
Taja woooote hao wa kizaz hiki ila kwangu Madonna.......na alale mahali pema MJ.....naiskiliza Holliday hapa
 
Nani anaweza kutaja jina la muimbaji na nyimbo yake iliyosika humo, katika hii kitu iliyotengeza bonge la radha.
 

Attachments

Radha nyingine hii hapa, wasanii gani unaweza kumtambua na ngoma yake ipi imeshiriki kutengeneza hii radha?
 

Attachments

The Chainsmokers-Don't let me down
Mike Posner-I took pill in Ibiza
Calvin Harris-My way
Sia-The Greatest
G eazy-Me my self and I
 
The Chainsmokers-Don't let me down
Mike Posner-I took pill in Ibiza
Calvin Harris-My way
Sia-The Greatest
G eazy-Me my self and I
Me Myself and I G easy yupo na Bebe Rhexa...

Kuna nyingine You dont Own me ya Grace G easy kashorikishwa
 
Clean bandit ft Zara Larsson-symphony
Halsey-now or never
Niall Horan-slow hands
 
Starley-Call on me
 
Rockstars tukutane hapaa...Linkin Park, Nicklebak[emoji126][emoji126]
 
The Chainsmokers-Don't let me down

Hapo sasa, uuuuuuwiiiiih
I need ya i need ya i need ya right now
I need you right, so don't let me don't let don't let me down, don't let me down, don't let down....
Unafata mdundo wa haja kubwa hapo aiseeeeeew
 
Hapo sasa, uuuuuuwiiiiih
I need ya i need ya i need ya right now
I need you right, so don't let me don't let don't let me down, don't let me down, don't let down....
Unafata mdundo wa haja kubwa hapo aiseeeeeew
Hatari aisee...video yake sasa!!

Ooh, I think I'm losing my mind now, yeah
Ooh, I think I'm losing my mind now, yeah
 
Hizi nyimbo bwana sijui huwa wanahamasisha nini
 
Hizi nyimbo bwana sijui huwa wanahamasisha nini
Nyingi ni malovee tu, party na nyingine inspirations tu katika maisha kama Fight Song ya Rachel Platten..
Hapa aliimba baada ya kusota kwenye game zaidi ya miaka 10, fight song kama inavyojieleza alikuwa anapigana afanikiwe na baadaye akatoka, album yake ya Wildfire imeuza nakala lukuki..

Hata Roar ya Katy Perry bado inahamasisha kusimama kwa ujasiri katika maisha, hata kama kuna watu kibao wanaopambana kuushusha...

Taylor swift nyimbo zake nyingi anaongelea kuachwa hasa zikiwalenga x's wake..mfano 22, bad blood, blank space, stay, out of the woods
 
Back
Top Bottom