Wapenzi wa muziki wa Pop tukutane hapa!!

Wapenzi wa muziki wa Pop tukutane hapa!!

Sasa nasikiliza Radio, bado asubuhi lakini kuna hii ngoma ya Julia Michael- "Issues", maDJ washaipiga mara 3. Still counting... hii vocal ni hatari.
 
SIA ndo queen of pop ni mtizamo wangu hamna zaidi ya SIA
 
1. Ellie Goulding - Burn
2. Lauren Alaina - Next Boyfriend

Zipo vizuri sana aiseeee.
 
Back
Top Bottom