Wapenzi wa JUKE BOX tukutane hapa

Actually nymbo hz nimeanza kuzisikia nikiwa na umri mdogo, p' school, lakini kitu chochote unakijua ukiwa mtoto hakitoki akilini. Lakini kitu kikubwa unachojifunza ni kua 'muziki wa kitambo' na wa 'sasa' tofauti ni 'vyombo'. Muziki wa zamani unaishi sbb ya vyombo na utunzi makini. Wa leo ni kinyume chake ndio maana haushi.
 
Wakuu kuna wimbo mmoj hiv unaimbwa this is the showdown kaimba mwanadada humo ndani nimeusikia leo kwenye mtaa wa mangoma radio1 mwenye nayo anisaidie.
 
Wahenga wenzangu, mmejuaje kuanzisha hii kitu? Nilikipenda sana kile kipindi cha "JUKE BOX" kikiendeshwa na bwana mdogo Kitenge, alipoenda tu tbc ndo ukawa mwisho wake, binafsi ni mpenzi sana wa mangoma ya old time, dah! Ngoja ntulie nitarudi na "madebe" ya zamani
Binafsi sio mwenga ila kipindi cha JUKE BOX kilikuwa kipindi changu pendwa sana kutoendelea na kipindi niliumia sana, ngoma za zamani zina raha yake
 
UB40, red red wine, please don't make me cry,
Michael Jackson, Liberia girl,
Madonna, holiday
Cool and gang, celebrating
vanessa paradis, julie taxi
tina turner, fool of love
Elton John, nikita
chaka khan, ain't no body
Lion rich, all night long
 


Hili goma awe analipiga John Dillinga afu anafanya nae kama anaimba huku anaweka zile ad-lip zake....aisee uta enjoy sana..the guy is real talented DJ na anaujua muziki!
Mkuu nashukuru sana

Kweli kabisa jamaa yupo vyema sana sekta hiyo
 


Hili goma awe analipiga John Dillinga afu anafanya nae kama anaimba huku anaweka zile ad-lip zake....aisee uta enjoy sana..the guy is real talented DJ na anaujua muziki!
Mkuu huu wimbo ni wa nani
 
Always - James Inglam
Cassanova - Levvert
Cool it now - New edition
Point off no return -
Roses are red -
Who is that girl - madonna
Get down on it - Cool n the gang
Illusion -



...ngoja niendelee kukumbuka chief,
Point of No Return imeimbwa na Nushooz
Roses are Red imeimbwa na The Mac Band.
Nushooz walitoa ngoma nyingine kali kama
Somebody New
I Can't Wait
Should I Say Yes
Lost Your Number
 
Kuna ngoma fulani i heard....nyimbo fulani ambazo hazikupata umaarufu lkn ni kali sana... mwenye ideas ya hizo ngoma unaweza tupia pia, binafsi nazikusanya nitaleta hapa....
 
Kuna nyimbo moja anaimba mdada nzuri sana , jina silijui, ila kuna sehemu anaimba hivi "dance to the night au dance tonight " kila nikitaka kujua aliyeimba jina lake nani au jina la wimbo nashindwa kabisa kujua.
Rythim of the night - Debarge
 
ngoma kali sana toka the comodoros night shift balaa tupu
Hii ngoma 'Night shift' aliitunga na kuimba msanii mmoja anaitwa Marvin Gaye ambaye pia aliimba 'Sexual healing' baadaye wakatengeneza kundi la wanamuziki wakajiita The Commodores' huo wimbo wakaurudia tena.

Hata siku ya mazishi yake The Commodores waliupiga tena huu wimbo kwa heshima yake ktk kundi.
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom