Wapenzi wa JUKE BOX tukutane hapa

Mkuu mimi sio mhenga ila hizi ngoma ninazikubali sana na nilikuwa mpenzi wa kipindi cha Radio One kinaitwa Mtaa wa Mangoma na mtangazaji alikuwa jamaa fulani anaitwa Moses Justine a.k.a Papaa Mo, nadhani ni marehemu kwasasa..

Muasisi alikuwa DJ- Jay dee!!!
Mtaalamu wa mtaa wa mangoma siku za jmoc na alhamic love story kuanzia saa nne usiku!! Ebwanaee kitambo sana miaka ya 1998!!!!
 
Wahenga wenzangu, mmejuaje kuanzisha hii kitu? Nilikipenda sana kile kipindi cha "JUKE BOX" kikiendeshwa na bwana mdogo Kitenge, alipoenda tu tbc ndo ukawa mwisho wake, binafsi ni mpenzi sana wa mangoma ya old time, dah! Ngoja ntulie nitarudi na "madebe" ya zamani
 
Tutajie kibao kimoja mkuu, au mwimbaji apa tukhmbushane.
Mimi napenda zikiwa katika miondoko ya house, au pop yaani ukisikiliza zina mzuka hatari.
Barbie girl-aqua
doctor jones-aqua
my oh my-aqua
Dj sammy- Heaven
Better off alone- alice deejay
Something-lasgo
Uncle john from jamaica- vengaboys
Up & down- vengaboys
Sandstone-darude
............. n.k, Playlist ni kubwa
 
ngoja nikusaidie kidogo chief
noel silent moring
ive thinking abt u london beat
ilusiom imagnation

yan chief nnazo nying hzo nyimbo n hatar
We jamaa, sijui ntazpataje au unitumie kwe telegram, mim huwa nazjua baadh ila majina ya singers
 
Coco jambo-Mr President
Strike it up-Black box
Kaoma-Lambada
What is love-Haddaway
Everybody everybody-Black box
.....zipo nyingi sana,....hayo ndo mambo yangu,....huwa nakumbuka mengi sana nikisikiliza hiz nyimbo,...marafiki,shule,wapenzi Wa zama za utotoni nk.
Watoto hawa Wa cku hiz Wa bongo fleva hapa lazima tuwaache,...hizi mambo za wahenga
Weweeeeeeeeeeeee

Lambada tena,

Mamam@aaaaa kale kangoma babake!!
 
Anyway nianze hivi, muziki wa sasa bila kujali ni wa mtoni au bongo its almost km umepoteza ile flava yake.

Kwa upande wa muziki wa mtoni at least wenyewe stil unaishi na ndio maana hadi ss tunaweza kusikiliza nyimbo za 2000's, 90's 80's, na hata 70's. Ukweli ni kwamba baadhi ya pini za miaka hiyo ni kali na zuri zaidi can bring a lot of memories.

Mimi naweza kusema ni muhenga kwenye hizi nyimbo ingawa nyingine zimenizidi kbs umri but yet nazikubali sn na najua ku-swing kiaina, inapotokea nahitaji kwenda sehemu ambayo nitakonga moyo wangu basi huwa najongea The Alcade East 24 kwa peter mo-Mikocheni au Club Legends kwa John Dillinga ambao wote ni wakali sana wa hizi mambo.

wakongwe wachache ambao wakubali ni kama
Gerald Levert (RIP)
Surface,
Shalamar,
New Edition,
Nu shooz
James Ingram
Mark morison
Mc Hammer
Chaka Khan
Calyn white
Ice Mc
Johny gill (Solo)
Bobby Brown (Solo)
Soul for real
Jackson 5
hawa ni wachache hasa kwa 80's ambao nyimbo zao nyingi zimekuwa copied na kufanywa upya new skul ambazo zonabamba kwa ss!

Kwa upande wa 90's wapo
Kevon Edmonds
usher Raymond
Ashanti
Ashley ballad
Tyrese
Mary J
Vyette chelle
Monica Anorld
Brandy
Non challant
Luniz
Nate Doggy
Warren G
Fox brown
Lil kim
Hao ni wachache.....

Kesho ntaanza kuwawekea track zao tuwaonye kwa taste za kazi zao.

[HASHTAG]#iloveoldies[/HASHTAG]
The great memories,

Baba natafuta mda nizishushe efyuuu,,
 
Umemsahau LL Cool J pamoja na Mc mwenzake aliyekuwa akiitwa Mc Hammer 'Hammer time'
 
Umenikumbusha mbaaali Sana Nakumbuka enzi zile get down on it.. Ilikua ikipigwa una Afro yako Safi USINIKUMBUSHE aisee Daaah picha inanijia ya Mikocheni ilee ya Miaka ya 90's
marehemu mshua alikua anaicheza akinywa yani mama angu ukitaka kumliza piga nyimbo za kina cool and the gang
Aloo cool n the ganga

Hivi ndo wale

Ceeee3eelebraity goood time common!!
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom